shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
  2. Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  3. Uingereza iko mbioni kutangaza Wagner kuwa ni shirika la kigaidi

    Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
  4. Serikari ya CCM ifanye kama inajikuna, iwape DPWORD shirika la Tenesco, wananchi tutazizima kwa furaha!

    Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu? Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo wao wa kufikiri unaishia tu pale Mungu anapoleta kiangazi chake, na akili za wataalam hao wa Tanesco...
  5. Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa linamiliki idadi ya Leseni 143

    STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
  6. V

    TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  7. Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  8. SoC03 Maboresho shirika la ndege Tanzania ATCL

    MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) Shirika la ndege tanzania (ATCL) Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya mmiliki wa Ndege za serikali TGFA Toka shirika hili lifufuliwe chini ya uongozi wa hayati John...
  9. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linazungumza na Wanahabari, leo Julai 27, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
  10. Matumizi ya TEHAMA yawe Kipaumbele cha Utendaji ndani ya Shirika la Posta

    ♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC). Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
  11. Tunaweza kufufua shirika la Posta, kodi zilizopo sio rafiki pia sio rahisi kwa mteja kuzielewa

    Pamoja na kazi nzuri ya Serikali ya kuboresha uchumi na miundombinu, Nafikiri ipo haja sasa ya kuja na mpango mkakati wa kufufua shirika letu la posta kwani lina uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu karibu Nchi nzima wa Mabilioni iliyojengwa kwa kodi za wananchi Kwanini tusije na mpango mkakati na...
  12. Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Mkoa wa Dar es Salaam, umekumbwa na tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama kwa muda mrefu. Kuongezeka kwa idadi ya watu na ukuaji wa mji umesababisha ongezeko la mahitaji ya maji, huku miundombinu ya zamani ikishindwa kukidhi mahitaji hayo. Katika kusaka suluhisho endelevu, nafasi ya...
  13. Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  14. T

    Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  15. Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  16. Shirika la Posta kushirikiana na Posta ya Falme za Kiarabu

    Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
  17. F

    Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

    Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya. Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
  18. Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

    Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu? Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao. Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
  19. Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) latoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kutofanya kazi kwa Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Mawakala wa meli (shipping agents) hawafanyi kazi kwa muda wa Saa 24 katika siku saba (7) za wiki, Shirika la Uwaka wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa ufafanuzi. TASAC imesema kuwa Wadau wa Sekta ya Usafiri majini kupitia Kamati ya Maboresho ya Bandari...
  20. Baada ya Bandari, namshauri Rais tubinafsishe Shirika la Reli

    Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam. Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…