shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

    Wakuu, Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers Akizungumza kwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Shirika la Utangazaji Comoro tayari kushirikiana na ZBC/ TBC

    Shirika la Utangazaji Nchini Comoro (ORTC) limeelezea utayari wake katika kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Taifa na la Zanzibar ili kuboresha mahusiano ya kihistoria na kuendeleza lugha ya Kiswahili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ORTC, Hablani Assoumani alipomkaribisha Balozi...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Yamkuta Naomi Campbell, ufujaji wa fedha za shirika wamfanya aondolewe kama Msimamizi

    Naomi Campbell azuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la Hisani kwa Matumizi mabaya ya Fedha Mwanamitindo huyo amezuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la alilolianzisha la 'Fashion for Relief' kwa Miaka 5, baada ya kuonekana likiwa na uongozi mbovu na usimamizi wa kifedha usiofaa Uchunguzi wa Miaka 3...
  9. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Shirika Kuwa na Ufadhili Kutoka kwa Mtu Mmoja Mmoja (Individual Donor)

    Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
  10. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
  11. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi zenye wanafiki wengi zaidi duniani?

    Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani? Hii record huenda...
  12. Journalists

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  13. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  15. tamsana

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  17. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imuangalie upya Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, Ayoub Rioba

    Awali ya yote ni vyema kutambua juu ya umuhimu wa Shirika la Utangazaji la Taifa duniani kote, kwa kawaida tunapozungumzia sehemu nyeti za kitaifa kama vile makambi ya Jeshi, Jengo la Taifa (Ikulu), vituo vya kuzalisha Umeme, vituo vya kuzalisha Gesi ghafi au asilia, Miundombinu ya kitaifa kama...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi yakubu azungumza na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la ndege la Precision

    Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya kuongeza wigo wa usafiri wa anga baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoro. Katika mazungumzo hayo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba ushauri wapendwa.
Back
Top Bottom