shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Wazo La Biashara

    Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF WAZO LINAHUSU NINI? Wazo...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM inadaiwa mabilioni ya shilingi na hailipi madeni

    Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  5. Eswa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

    Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae. Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote. Asanteni, naomba kuwasilisha
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achangia shilingi milioni kumi mfuko wa yatima na wajane mkoa wa Dodoma

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA SHILINGI MILIONI KUMI MFUKO WA YATIMA NA WAJANE MKOA WA DODOMA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni kumi katika mfuko wa kuwahudumia mayatima na wajane mkoa wa Dodoma. Mchango wake huo...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali yaweka Shilingi bilioni 12 kwa utekelezaji wa miradi ya maji Mtwara

    Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 891.5 za Rais Samia zilivyotumika mtaa kwa mtaa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezungumzia mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, amezungumza akiwa katika Ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), leo Machi 4, 2022. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu ambayo ameyazungumza ambayo yamekuwa na faida...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi kamari (betting) ilivyonipotezea shilingi laki 6 ndani ya siku 60 tu

    Ahlan wa sahlan. Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari). Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
  15. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu Business Angel Investors

    Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi. Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu. Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo...
  18. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  20. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Back
Top Bottom