Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

Eswa

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
211
482
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.

Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.

Asanteni, naomba kuwasilisha
 
Kwenye kichwa cha habari umeandika "kwa 2000" huku kwingine umeandika " kwa 200" lipi ni lipi
 
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.

Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.

Asanteni, naomba kuwasilisha
Tunaomba marekebisho hapo kwenye heading imetushitua inasomeka 2000 tofauti na content tafadhali.
 
Kujiandaa tushazoea, mama alituaminisha kufanya hivyo, ipo siku tutakuja kutangaziwa tujiandae Mbeya kuwa sehemu ya Malawi
 
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.

Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.

Asanteni, naomba kuwasilisha
ssa tutafanyaje

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Typing error, asante Moderator kwa marekebisho
 
Sababu alishazitoa Rais wako mpendwa.Hukupata tangazo?Huko kwenu hakuna TBC Taifa?🐒🐒🐒View attachment 2182792
Kumbe alitoa Go ahead kabisa

Hata vita ikiisha tutashuhudia bei kubwa kwa vitu vingi na kipindi hicho tutapewa sababu nyingi utasikia tulinunua mzigo mkubwa kipindi cha vita na bado uko stock haujaisha hivyo hatuwezi kuuza kwa bei ya chini mpaka uishe
 
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.

Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.

Asanteni, naomba kuwasilisha
duh, huko bunju makumbusho nakumbuka nauli ilikuaga TSH 750, kwahiyo Inaenda kuwa 950/=?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom