JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,389
- 9,664
Hakika kila kitu kitapanda bei.
Hapa kwenye biashara ya rafiki yangu ananambia ametumia milion 15 za kuwasha Generator kati ya Nov 1-29. Umeme wa kawaida huwa wanatumia milion 5 tu kwa mwezi.
Sasa anafikilia kupandisha bei kama hari ikiendelea hivi na mwezi huu. Ila anaogopa kupoteza wateja.
Cha kushangaza ana ratiba ya mgao wa umeme lakini kuna mgao ndani ya mgao. Yaani Ratiba ya Mgao haufuatwi.
Kwenu studio na Kipara