shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini Yaomba Shilingi Bilioni 89.3 kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3 Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Akizungumza Bungeni Aprili 27,2023 Waziri wa Madini Mhe...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Subira Mgalu akabidhi Vyerehani 130 vya Shilingi Milioni 32.5 kwa Wanawake wa Pwani

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKABIDHI VYEREHANI 130 VYA MILIONI 32.5 Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea kutekeleza azma yake ya kuwaimarisha kiuchumi Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) katika Wilaya za Mkoa wa Pwani, ambapo amekabidhi vyerehani 20 wilayani Kisarawe na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
  4. JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 15 Kusaidia Uhifadhi Nchini

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia Tanzania Kupambana na Wanyama Waharibifu katika maeneo ya Kusini mwa Tanzania. Mkataba huo umetiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani ni shilingi ngapi?

    Habari za saa hizi Wanajamii Forums, Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Nokia C10 ikiwa na kila kitu Ilichokuja nacho (Fullbox), nimeitumia kwa miezi 2 ruksa kuikagua

    Technical specificationsNokia C10 Shoot HDR photos and admire them on the HD+ screen. Colors Light Purple Display Aspect ratio: 20:9 Cover glass: Toughened glass Features: Brightness 400 nits (typ.) Size:6.5 inch Resolution: HD+ (720 X 1600) 6.5 inch Imaging Features: Night mode, HDR...
  8. JamiiForums Tanzania Wastani wa shilingi milioni 423 zimepigwa na kila halimashauri nchini zikiwa ni pesa za mikopo kwa vijana.

    Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe Achangia Shilingi Milioni 10 Kununua Majiko ya Gesi kwa Wanawake wa Singida

    AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
  12. JamiiForums Tanzania Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.

    Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani eti TRCS salary scale 3 ni shilingi ngapi kwa ngazi ya degree na diploma?

    Natamani kujia hizi salary scale wanazo calculate vipi na ni kiasi Gani?
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
  15. JamiiForums Tanzania Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

    Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu. Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Korogwe: DC Jokate apokea kompyuta zenye thamani ya Shilingi milioni 92

    Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi atoa shilingi Milioni 10 kusaidia ujenzi wa wodi ya wanawake Ilala Simba

    MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

    Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya. Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi. Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

    Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…