shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Chid Benz: Wenye shida hawana simu

    Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
  2. Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  3. Ukimsikiliza Samia hizi sehemu mbili tofauti utagundua kuna Shida. Ni Aibu

    Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
  4. Shida ya waamuzi haikupaswa kujadiliwa leo!

    Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991. Mipango mingi inayopangwa na TFF kwasasa ilipaswa kupangwa miaka mingi nyuma. Changamoto nyingi zinazojitokeza kwenye mpira wa...
  5. T

    JF imesaidia sana kupata ushauri na mawazo

    Kwakweli wakuu niseme ukweli tu Jukwaa la Jamiiforum umenisaidia sana ni zaidi ya GT CHAT nimepata mawazo huku misaada huku kupitia nyie ndugu zangu lakini kuingilies kwake inatupa wakati mngumu sana hasa ata ukiwa unaomb shida na changamoto inakuwa tatizo. Nyie ni ndugu na marafiki pamoja na...
  6. GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  7. Sita guswa kwa namna yoyote pindi watu maarufu/wasanii watakapopata shida

    Hakuna mtanzania anaetaka serikali imlishe milo mitatu au impe hela bure, Hakuna. Tunachosema ni kua TANZANIA ina rasilimali za kutosha kuleta ahueni kwenye maisha ya watu. Wanachofanya viongozi ni kujinufaisha wao, familia zao na maswahiba wao. Kwa mfano suala la gesi, haiwezekani iingie...
  8. Shida ya Elimu Tanzania

    We Are So Primitive Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila...
  9. M

    Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
  10. Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  11. H

    Wanawake hizo ni shida zenu, sio zetu sisi wanaume

    Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na mwanamke anakuambia haumridhishi kitandani,bro wala usiwe mnyonge we endelea na mitikasi yako,jukumu...
  12. Je, kumtafuta rafiki yako, kipindi ukiwa na shida tu ni sahihi?

    Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako. Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
  13. M

    Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  14. Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  15. GE2025 Samia: Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na shida yeyote ile

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha zaidi huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino ikiwa ni pamoja na afya, maji na barabara. Akizungumza Agosti 31, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  16. Hata Mitume walikuwa Waisrael / Wayahudi napata shida sana katika hili hasa kutokana na Imani yangu

    Makabila 12 ya Wana Israel 1. Ruben – mzaliwa wa kwanza wa Lea. 2. Simeon – mwana wa Lea. 3.Lawi/Levi – mwana wa Lea → kutoka hapa ndio anatoka Nabii Musa na Harun. 4. Yuda (Judah) – mwana wa Lea → kutoka kabila hili walitokea manabii wengi na mfalme Daudi na Suleiman. 5. Isakari (Issachar)...
  17. Simbanking kupitia Voda wapi shida ipo

    Unamtumia mtu hela kutoka account yako ya CRDB kwenda account nyingine ya CRDB inakuambia umefanikiwa maana ni kweli unaona hata na jina lake linatokea. Ila sasa tatizo kujua kweli zimeingia hadi upigie akumbie zimeingia ila wewe huku hakuna message inakurudia kuwa umetuma hela kwenda kwa flani...
  18. Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  19. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  20. Kwanini Utajwe wewe tu kila wakati?? ipo shida mahali

    Iko namna Watu kama hawa sio wa kuwaweka karibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…