A
Anonymous
Guest
2. Tunahofia msimu huu kutowalipa wakulima kwa asilimia mia sababu fedha nyingi ishachukuliwa na meneja
3. Tumejaribu kuwashirikisha afisa ushirika wilaya pamoja na mrajis wa mkoa lakini hatujapata majibu mpaka sasa.
4. Tunaomba msaada kuondoa hii kero kwani maisha yetu yako hatarini tusipowalipa wakulima fedha zao zote.
5. Mwenyekiti na Bodi ya Chama Kikuu cha ushirika cha Mbogwe na Bukombe pamoja kufikishia malalamiko yetu pia wameshindwa kutatua hii kero, tunaelekea kwenye masoko ya tumbaku lakin hatujapata majibu ya kero yetu.
6. Tunaomba ofisi ya mrajis dodoma ichukue hatua kali ili kunusuru uhai wa Wakulima.