Shida ni udereva...Wasalaam.Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki.Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
Nchi nzima?Sirius?
Unqualified driversWasalaam.Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki.Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
Hili nakataaUderava na miundo mbinu ya barabara sio rafiki kwa madereva wa pikipiki
HakikaSirius?
Kwa nini unakataa?Hili nakataa
Shida ni macho.Wakipata pikipiki wanauza macho yao.Wasalaam.Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki.Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
Halafu kashikilia honi yan piiiiiiiii akipita hivi hata platenamba husomivijana wanachanganya ulevi na uvutaji wa Bangi actually lazima tu upige mzinga..unakuta kijana kashikilia exleta mwisho kbsa speed kali balaa
Chanzo kikubwa cha ajali za byke ni uzembe wa madereva unaosababishwa na matumizi ya MIHADARATI na pombe kali,Kwa nini unakataa?
hapo lazima tu apige mzingaHalafu kashikilia honi yan piiiiiiiii akipita hivi hata platenamba husomi
Kungekua na barabarani special kwa watu wa pikipiki, magari na waenda kwa miguu , ingepunguza , ndio manaa nikasema uendeshaji mbovu na miundo mbinu duniChanzo kikubwa cha ajali za byke ni uzembe wa madereva unaosababishwa na matumizi ya MIHADARATI na pombe kali,
unakuta dereva ana overtake main rod kizembe anajaa kwenye semi,
Samahani.Hivi, tofauti ya 1-motorists,2-drivers na 3-riders na 4--bikers ni ipi?Udereva: motorist wengi wanaendesha kihuni kwa kutozingatia alama yoyote ya barabarani. Pia wanafanya wana haraka kuliko watumiaji wengine wote wa barabara na wanataka wawe wa kwanza kana kwamba kuna mashindano.
Dharau kati ya motorist na drivers: wenye magari wanawaona motorists kama adui na kutojali uwepo wao barabarani.
Miundo mbinu: Barabara zetu nyingi ni nyembamba sana na hazina sehemu ya waendesha pikipiki na waenda kwa miguu, kama zipo basi zimejaa mashimo na ni nyembamba sana.
mi naona waache uzembe na matumizi ya MIHADARATI na ulevi halafu wafate sheria za barabarani.Kungekua na barabarani special kwa watu wa pikipiki, magari na waenda kwa miguu , ingepunguza , ndio manaa nikasema uendeshaji mbovu na miundo mbinu duni