Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.
Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Wengi wanaamini wanapoteza ela kununua wanaamini wakioa watapata tendo la ndoa kwa urahisi bila longolongo ila kumbe walijidanganya/walidanganywa. Ukioa unapewa kwa kipimo mda mwingine inapita wiki mpaka mwezi bila kugusa iyo mbususu
Na wakipewa wanapewa kishingo upande bila ushirikiano wowote...
wanawake wanapitia magumu sana haswa wakianza kuvunja ungo. Hapo ndo shida rasmi zinaanza ule usumbufu wa kuingia period kila mwezi na wengine period zao zinaingia na maumivu pamoja na kutokwa na damu nyingi inapelekea kupata shida ya damu
mfumo wa homoni usipokaa sawa kidogo tu matatizo...
Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji.
Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi.
1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu.
2. Kuna kisingizio cha msawazo...
Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu kumpata bikra kanda ya ziwa hasa hasa akina mwanike wanyamwezi atleast ni rahisi na wanyaturu ni rahisi...
Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
Habarini wapendwa za jioni
Nimeona tukumbushane kidogo
Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha
Hawa watoto watatu
Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho
Kwa...
Nina uhakika Samia hakuingia Ikulu kutuibia, lengo lake alete Maendeleo kwetu
ila ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye nini sisi tumechagukwa mno mnonga
Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa.
Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
Kumekuwepo na machafuko na matatizo mengi sana hapa Afrika lakini nchi nyingi na hata vyombo vya habari vya kimataifa havitupi attention tunayostahili kwa scale ya matatizo tuliyonayo.
Lakini waafrika tumekuwa na shobo sana kwa matatizo yanayotokea ncho za nje, Kinachoendelea Uganda muda huu...
Hamjambo!
1. Kuna mambo yanafurahisha Sana nchi hii.
2. Wapo watu waliokuwa wafuasi wa Mwandambo Mzee wa nachoka kabisa.
3. Kuna watu ni wafanya vichekesho, vituko, content creator. Sasa ni kosa kubwa kushindwa kuwatofautisha na wapigania Haki.
4. Kwani utajikuta unadandia mitumbwi ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊
Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
Nashukuru Mungu wa Mbinguni, kwa kutufanikisha kufika mwaka huu wa 2026. Ahsante.
Waheshimiwa kitu kinapokuwa adimu ndipo kinapokuwa na thamani na pia kinaondoa migogoro kwa kuwa ni adimu.
Mamlaka ya uongozi hayaruhusiwi kumwazima au mtu mwingine awaye yote kujivika mamlaka ya yako na...
Kwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono?
Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake?
Una shida ya akili wewe si bure
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.