shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  2. Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

    Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika. Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi. Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea...
  3. Shida ya wanaume humu ni hii

    Mtu anakaa single kisa avatar yake. Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria. Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje...
  4. M

    Hali ya upatikanaji Maji Dar es Salaam ni shida. DAWASA iwajibike

    Ndugu Waziri wa maji, Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida. Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo, lakini leo tunakwenda siku ya tano hakuna maji, hivi mnataka sisi tuishije? Wakati mwingine muwe...
  5. Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  6. Nchi yenye kilomita za mraba kadhaa mafuta ya kupikia yanakuwa shida

    Its wonder kila kitu kipo juu ukiuliza kwanini wanakwambia VITA sawa ni vita je serikali imekuja na mipango gani kwa hiyo mtaachia wafanyabiashara waendelee kupandisha bei za vitu kisa vita hakuna tamko la kukemea vitu kupanda bei bali kuna tamko la kubariki viendelee kupanda. Kupanda bei kwa...
  7. B

    Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

    Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache nini, ni buffet. Mimi kwa kweli nilikuwa naona kero. natamani kuishi maisha ya watu wengine unakuta...
  8. Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

    Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
  9. Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  10. S

    Ni shida nimetembelea kijijini hukooo ndani ndani,alooo !

    Nilikuwa nikae mwezi lakini yamenishinda,kuoga kisimani kwenda haja kubwa au ndogo ni kwenye machaka unakuta hakuna chaka ni minazi mitupu ,usiku ukitaka kwenda haja ndio kindende. Nimetaka kuwachimbia choo wakasema arzi yao ina maji,hivi mpo mmezoea hii hali wakiti mkitoka mjini au ulaya.
  11. S

    Hangary: Hatutoafikiana na EU kuweka vikwazo dhidi ya mafuta na gesi ya Russia, 90% ya waHungary watapata dhiki kubwa na uchumi wetu utaanguka

    Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, ametangaza kuwa nchi yake (Hungary) ipo dhidi ya vikwazo vyovyote vitavyowekwa na umoja wa Ulaya juu ya Russia kuuza mafuta na gas ktk nchi za Umoja huo. Kufuatia mkutano uliofanyika London uliowahusisha mawaziri wakuu wa nchi kadhaa zikiwemo Hungary...
  12. U

    Mfahamu kwa Picha Ndyanabo Balidisya mtunzi wa kitabu Cha Shida na Dadake na Mwanamuziki Patrick Balidisya

    Mungu azidi kumrehemu yeye na kakake Alikuwa mtunzi na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaamf
  13. Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  14. Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

    Habari za majukumu! Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini? Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
  15. Ufanisi wa madaktari wa Tanzania umeshuka, tatizo ni nini?

    Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia. Yaani...
  16. Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  17. Kwani shida kwenye umeme wetu ni nini?

    Mwezi wa 11 walisema ni kawaida kuwa na mgao kila mwaka. Hadi Zitto akawaunga mkono. Kama mwezi wa kumi na mbili Wakasema tena kuwa ndani ya siku mbili watatoa majibu na kukomesha mgao. Mwezi huu wakasema mgao mpaka tarehe kumi utakuwa historia lakini wakasema hakuna haja upo wa kutosha...
  18. L

    Baraka, laana, shida zinazoambatana na baraka, vipaji

    RESOURCE CURSE Resource ni rasilimali Curse ni laana Hivyo RESOURCE CURSE ni balaa au laana ambayo inaambatana na nchi, mtu, kubarikiwa jambo flani. Waswahili wanasema kwenye miti hapana wajenzi. Nchi za kiAfrica zina experience sana hii laana, nchi zimebarikiwa na rasilimali za kutosha...
  19. Sababu za kisayansi kwanini Sarai mke wa Nabii Ibrahim alikuwa na shida ya Uzazi/ Uzazi mgumu

    Vitabu vitakatifu vya Dini zetu pendwa vinamtaja Sarai ama Sarah kama mwanamke aliye kuwa anakabiliwa na changamoto ya UZAZI. Vitabu hivi vinatueleza kwamba suala la Sarai kuwa na matatizo katika UZAZI lilikuwa ni suala la kiroho. Hata hivyo suala la Sarai kuwa Na changamoto ya UZAZI linaweza...
  20. B

    Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…