Kwa hiyo umetengeneza urafiki nae Ili uwe parasite?nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
Mmeshafikia hatua ya kuwa marafiki au mmeanza kuwasiliana tu ndio unaona ni rafiki? Akiwa rafiki yako, hutakuwa na haja ya kumpa orodha ya umasikini na ujinga wako, kwa kadiri mnavyoshirikishana mambo ya kawaida ya kila siku, atalijua mazingira yako.nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
Andaa mirindaa ,be humble wew jamaa😅😅nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
Daaah jmn..umeniua mbavu aloooh kwaiyo waafrika matatizo ndio kwaoAkishajua tu kwamba we ni muafrika inatosha kumjuza kuwa wewe unashida
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akishajua tu kwamba we ni muafrika inatosha kumjuza kuwa wewe unashida
Akishajua tu kwamba we ni muafrika inatosha kumjuza kuwa wewe unashida