shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Songwe kuna shida kubwa sana

    Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana. Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Force Account: hata Kipanya anajua madudu!

    Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu shida ya maji, Tanzania kuna tatizo zaidi ya CCM

    Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba? Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?

    Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  8. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Tunajenga Madarasa 8000 halafu Nyumba za Walimu 0, hapa kuna shida mahali...

    SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya 400,000 wa Kidato cha Kwanza mwakani ambao ni zao la elimumsingi bila ada. Aidha, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Charles Msonde ameelekezwa kufanyia kazi...
  9. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa ina shida gani leo?

    Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchini Ufaransa kupinga upandaji wa gharama za maisha

    Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati. -- Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a more decisive fight against climate change. But is it the beginning of a wider movement against...
  11. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

    Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu Atakulipa? Atakulipa kwa wakati? Asipolipa unafanyaje? Uko tayari kudhulumiwa?
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kuna shida mahali!

    Habari zenu ndugu wana JamiiForums, nimeona kama kawaida yangu na hili niwashirikishe kuna ndugu wa karibu mwenye jinsia ya kike umri wake kwa sasa anaweza kufikia miaka 52 amekuwa na tabia ambayo kidogo inanichanganya. (1) Akikuta naongea na mwanamke kwa mahaba uso wake...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais gani atakuja kumaliza tatizo sugu la mgao wa Umeme?

    Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia. Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimepata shida ya haraka naitoa Toyota Cluger : DFU kwa Tsh. Milioni 18 tu

    Nimepata shida ya haraka, Naitoa #Toyota Kluger FU kwa Tsh. Milioni 18 tu #Eng ; vvti 2az #Eng ; capacity 2360 #KL. ; 89600 ☎️0747744895 Karibuni
  17. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata shida kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  18. Phobia

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini matukio ya Ulawiti kuongezeka kwa kasi?

    Tanzania kila kukicha ni matukio ya ulawiti tu shida nini? Ushirikina, tamaa ya ngono, malezi ya hovyo au maadili? Irina mnafeli wapi? ---- Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha Ayubu Kiyanza (22) Mkazi wa Don Bosco Manispaa ya Iringa kwa kosa la kumlawiti Mtoto mwenye...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

    Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto? Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe uhakika wa kupata chakula kila siku upo, ndipo uoe. Kuoa sio fasheni
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
Back
Top Bottom