Shetani anazidi kuwafanya Watanzania masikini kupitia vifurishi vya data

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kama kuna pepo linalowamaliza watanzania leo hii ukiacha cancer na hiv n vifurishi vya data

Yaani Watanzanià wameingiliwa na hili pepo ambalo imefika radhi wanunue vifurushi watoto wanywe chai na mkate

Wako radhi wakose nauli kesho wawatumie mahawara zao ama bibizao vifurushi

Kiukweli vifuurushi vingi n garama kuliko unavyojua

Kwa mnaoweka vya 2000 andikeni pemben kila.mda mnaoweka mjue mwisho wa mwezi mmetumia sh ngapi

Wakati wa kuamka sasa sio lazima kila sà simuyako iwe na vifurushi ukiona haviitajiki potezea mazima subiria ukiwa poa usiumize kutoa pesa za mambo mengine kununua vifurushi

Hilipepo lazima mlikatae kwa maombi na nguvu zote
 
KAMA KUNA PEPO LINALOWAMALIZA WATANZANIA LEO HII UKIACHA CANCER NA HIV N VIFURISHI VYA DATA

YAAN WATANZANIÀ WAMEINGILIWA NA HILI PEPO AMBALO IMEFIKA RADHI WANUNUE VIFURUSHI WATOTO WANYWE CHAI NA MKATE

WAKO RADHI WAKOSE NAULI KESHO WAWATUMIE MAHAWARA ZAO AMA BIBIZAO VIFURUSHI

KIUKWELI VIFUURUSHI VINGI N GARAMA KULIKO UNAVYOJUA

KWA MNAOWEKA VYA 2000 ANDIKENI PEMBEN KILA.MDA MNAOWEKA MJUE MWISHO WA MWEZI MMETUMIA SH NGAPI

WAKATI WA KUAMKA SASA SIO LAZIMA KILA SÀ SIMUYAKO IWE NA VIFURUSHI UKIONA HAVIITAJIKI POTEZEA MAZIMA SUBIRIA UKIWA POA USIUMIZE KUTOA PESA ZA MAMBO MENGINE KUNUNUA VIFURUSHI

HILIPEPO LAZIMA MLIKATAE KWA MAOMBI NA NGUVUZOTE
sawa wewe usiyenunua data ghorofa lako liko wapi? jiulize!
 
Kweli yaan mi haiwez pita sku bila ya kuweka vocha ya jero au hata buku jero sjui nmerogw

yess BiShoo haswaaA
Yaaanii ni pepooo.amemwagwaaaa kuwamalizaa watanzaniaa.kama uamini Angalia
KAKAA wiki mbili.BILA KUINGIZA kifurushuni fikisha MWEZI Angalia NGAPI.umeokoaaa

Kuna KIPINDI ZILIWEKWA MPAKA VOCHA ZA 200 MNAKUMBUKA ZILE SIO RAHA N....HUZUNI....YAAN HATA WEWE WA MAANDAZI ASBH YA 200 NAICHO WANAKITAKAA WAKIMALIZE
 
kwako chai na mkate nongwa,,
wanao wanakunywa chai na bugger ama,,!
 
Yaani kifurushi cha buku 2 umeona ni matumizi makubwa, vipi gharama za kumiliki na kuendesha gari
 
Ni kweli ,kuna kipindi mtu unaweza kosa hela ya kula lakini utafanya juu chini uwe na bando
 
KAMA KUNA PEPO LINALOWAMALIZA WATANZANIA LEO HII UKIACHA CANCER NA HIV N VIFURISHI VYA DATA

YAAN WATANZANIÀ WAMEINGILIWA NA HILI PEPO AMBALO IMEFIKA RADHI WANUNUE VIFURUSHI WATOTO WANYWE CHAI NA MKATE

WAKO RADHI WAKOSE NAULI KESHO WAWATUMIE MAHAWARA ZAO AMA BIBIZAO VIFURUSHI

KIUKWELI VIFUURUSHI VINGI N GARAMA KULIKO UNAVYOJUA

KWA MNAOWEKA VYA 2000 ANDIKENI PEMBEN KILA.MDA MNAOWEKA MJUE MWISHO WA MWEZI MMETUMIA SH NGAPI

WAKATI WA KUAMKA SASA SIO LAZIMA KILA SÀ SIMUYAKO IWE NA VIFURUSHI UKIONA HAVIITAJIKI POTEZEA MAZIMA SUBIRIA UKIWA POA USIUMIZE KUTOA PESA ZA MAMBO MENGINE KUNUNUA VIFURUSHI

HILIPEPO LAZIMA MLIKATAE KWA MAOMBI NA NGUVUZOTE
Tunaotumia freebasics utatujua tu. Sasa hapa shetani anaingiliaje mkuu, ama hata huko sudan ambako watu wnaakufa njaa DATA bundles ndio zinasababisha? Kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa. Umasikini ni kukosa kile unachokihitaji kwa muda husika, ufukara ni hali ya kukosa mahitaji muhimu. Piga ua garagaza, hakuna mlevi aliyefanikiwa eti kwasababu aliacha pombe. Pesa anayoipata akanywee hawezi kuhangaika kuitafuta akishaacha kunywa (ndio maana wengi wa wanaoongoza kwa kufuja mali ni walevi na hakuna wiki itaisha hajanywa)
 
KAMA KUNA PEPO LINALOWAMALIZA WATANZANIA LEO HII UKIACHA CANCER NA HIV N VIFURISHI VYA DATA

YAAN WATANZANIÀ WAMEINGILIWA NA HILI PEPO AMBALO IMEFIKA RADHI WANUNUE VIFURUSHI WATOTO WANYWE CHAI NA MKATE

WAKO RADHI WAKOSE NAULI KESHO WAWATUMIE MAHAWARA ZAO AMA BIBIZAO VIFURUSHI

KIUKWELI VIFUURUSHI VINGI N GARAMA KULIKO UNAVYOJUA

KWA MNAOWEKA VYA 2000 ANDIKENI PEMBEN KILA.MDA MNAOWEKA MJUE MWISHO WA MWEZI MMETUMIA SH NGAPI

WAKATI WA KUAMKA SASA SIO LAZIMA KILA SÀ SIMUYAKO IWE NA VIFURUSHI UKIONA HAVIITAJIKI POTEZEA MAZIMA SUBIRIA UKIWA POA USIUMIZE KUTOA PESA ZA MAMBO MENGINE KUNUNUA VIFURUSHI

HILIPEPO LAZIMA MLIKATAE KWA MAOMBI NA NGUVUZOTE
Watanzania wengi hawako sensitive na masuala ya pesa na hawachelewi kukuita mbahili kwa kujaribu kutumia vizuri pesa yako. Wachagga na Wapare wabahili sana.
 
Yaani kifurushi cha buku 2 umeona ni matumizi makubwa, vipi gharama za kumiliki na kuendesha gari
Ndio ushangae muhindi Yuko radhi ahonge 20m apate nyumba ya nhc mchikuchini, anakaa horofani duka lake liko kwa chini, na hiyo nyumba analala sebuleni vyumba kavibadili store, mchana Hali jioni anakunywa supu ya njegele na mhogo wakuchoma, kwann asitajirike? Billgate mwenyewe Hana simu wala laptop
 
Kama kuna pepo linalowamaliza watanzania leo hii ukiacha cancer na hiv n vifurishi vya data

Yaani Watanzanià wameingiliwa na hili pepo ambalo imefika radhi wanunue vifurushi watoto wanywe chai na mkate

Wako radhi wakose nauli kesho wawatumie mahawara zao ama bibizao vifurushi

Kiukweli vifuurushi vingi n garama kuliko unavyojua

Kwa mnaoweka vya 2000 andikeni pemben kila.mda mnaoweka mjue mwisho wa mwezi mmetumia sh ngapi

Wakati wa kuamka sasa sio lazima kila sà simuyako iwe na vifurushi ukiona haviitajiki potezea mazima subiria ukiwa poa usiumize kutoa pesa za mambo mengine kununua vifurushi

Hilipepo lazima mlikatae kwa maombi na nguvu zote
BASIASI nicheki WhatsApp 0738688120 tafadhari usiache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom