Kwa mara ya kwanza Shetani Katoa Point: Majibu yq kanisa la Shetani kwa Jamaa aliyeomba Kujiunga na Illuminati kwa kutweet account ya kanisa hilo.

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,542
15,206
1572538318844.png

Jamaa kauliza

'' Kanisa la shetani ninawezaje kujiunga na Illuminati? ''. '' nataka kuwa tajiri'''.

JIBU LA KANISA LA SHETANI
'' Illuminati inamaanisha kuwa na akili au mwangaza, Hivyo soma vitabu, Jielimishe hivyo utakuwa Illuminati, kama bonasi kujielimisha kutakufanya kuwa na hatua nzuri ya kupata kazi ambayo inaweza kukufanya kuwa tajiri na kupata bahati mahiahani.''

(Nimetafsiri kienyeji kidogo)

Hivyo kama unataka kuwa illuminati au freemason ili uwe tajiri basi ushauri huu wa kanisa la shetani unafaa zaidi ...
Kuwa somasoma
Jiongezee elimu mbalimbali
Tafuta fursa komaaa
Basi tayari wewe ushakuwa illuminati.

Kimsingi hakuna cha vyama vya siri vinavyoitwa illuminati au freemason ni kutishana tu, kikubwa bukua jitume maishani basi ushakuwa illuminati hii sio kwa mujibu wangu bali kwa mujibu wa kanisa la shetani mwenyewe.

Kwa mara ya kwanza Shetani katoa ushauri wa maana
 
Maana yake ni kwamba watu desperate kama huyo hawana nafasi pale. Wanataka mtu atakayeleta value kwao, na wanakuwezesha kuleta hiyo value. Uyo hajielewi. Inawezekana anakaribia kujiua kwa kakata tamaaa
 
Maana yake ni keamba watu desperate kama huyo hawana nafasi oale. Wanataka mtu atakayeleta value kwao, na wanakuwezesha kuleta hiyo value. Uyo hajielewi. Inawezekana anakaribia kujiua kakata tamaaa
anatafuta mtelemko kwa shetani
 
View attachment 1250141

Jamaa kauliza

'' Kanisa la shetani ninawezaje kujiunga na Illuminati? ''. '' nataka kuwa tajiri'''.

JIBU LA KANISA LA SHETANI
'' Illuminati inamaanisha kuwa na akili au mwangaza, Hivyo soma vitabu, Jielimishe hivyo utakuwa Illuminati, kama bonasi kujielimisha kutakufanya kuwa na hatua nzuri ya kupata kazi ambayo inaweza kukufanya kuwa tajiri na kupata bahati mahiahani.''

(Nimetafsiri kienyeji kidogo)

Hivyo kama unataka kuwa illuminati au freemason ili uwe tajiri basi ushauri huu wa kanisa la shetani unafaa zaidi ...
Kuwa somasoma
Jiongezee elimu mbalimbali
Tafuta fursa komaaa
Basi tayari wewe ushakuwa illuminati.

Kimsingi hakuna cha vyama vya siri vinavyoitwa illuminati au freemason ni kutishana tu, kikubwa bukua jitume maishani basi ushakuwa illuminati hii sio kwa mujibu wangu bali kwa mujibu wa kanisa la shetani mwenyewe.

Kwa mara ya kwanza Shetani katoa ushauri wa maana
Hauoni kuwa wametumia "sarcasm"??
 
Back
Top Bottom