shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. JamiiForums Tanzania Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
  3. JamiiForums Tanzania Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

    Hatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza! Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi. Mbaya zaidi na...
  4. JamiiForums Tanzania Matembezi ya shetani usiku huu

    Usiku huu, ulimwengu wa roho unashuhudia matembezi makali ya shetani na jeshi lake la mapepo, usiku unaoambatana na dhoruba za kila aina ya uharibifu ambapo mkuu wa giza anajipenyeza kama upepo wa sumu akitafuta milango ya fikra na ndoto zilizowazi ili kupandikiza mbegu za hofu ya kifo, magonjwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza

    Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”. Hakika tukilifahamu Neno la Mungu, hata tukifungiwa katika chumba chenye giza tukapewa mshumaa na Biblia tu, tutaweza kueleza mambo yote...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshinda shetani

    Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake nyota ya alfajiri (Isaya 14:12). Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndipo...
  7. JamiiForums Tanzania Shetani asingekuwepo tungeenda kusali makanisani na misikitini?

    Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae) Nitatoa mfano Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza bahasha za ondoleo la dhambi badae mambo ya kabadirika. Ukija kwa walokole shetani anatumiwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  9. JamiiForums Tanzania Hii perfume nadhani aliyeshauri Itengenezwe ni Shetani mwenyewe kabisa

    Nipo nchi moja ya Kiarabu huku Ofisini kuna mfanyakazi mwenzetu toka jana namsikia ananukia papuchi kabisa. nikawa nawaza ni kuwa ametoka ku.... au... nikawa sielewi the whole day jana nilikuwa tu na mawenge kila akija ofisini kwangu mi napoteza network kabisa maana nasikia harufu ya papuchi...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimejiuliza: Hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea?

    Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?😁
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Mke wa Ayubu kwenye biblia hakuguswa kabisa na shetani?

    Hili swali huwa najiuliza sana. Kwanini shetani hamkugusa kabisa mke wa Ayubu? Ikumbukwe shetani aliua hadi watoto wote wa Ayubu lakini mke hakuguswa kabisa. Shetani huwa ana double standards kwenye kazi zake?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa

    Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu. Swali ni je! alikuwa anachukuliwaje mahali pale, ni njia gani ilikuwa inatumika? Ni muhimu kufahamu kuwa Bwana Yesu...
  13. JamiiForums Tanzania Mjaribu shetani hamwogopi mwombaji mzuri

    Mt 4:3 SUV [3] Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Yesu akiwa kwenye maombi ya siku 40 ya kufunga, alikutana na mjaribu shetani. Tukio ambalo linatupa mshangao na kushtuka kidogo, maana tulitegemea mtu akiwa kwenye maombi mazito namna hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka CHAUMMA. Waliahidiwa Vyeo sasa wanaomba kurudi CHADEMA. Eti Shetani aliwapitia🤣🤣

    Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi. Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa.. Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma? Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana Chadema Lissu hajajisalimisha na hatajisalimisha

    Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe. Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi. Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
  16. O

    JamiiForums Tanzania Je, Muhammad alikutana na malaika au shetani?

    Katika simulizi hii, inaelezwa kuwa Muhammad alipata tukio la kiroho ambalo baadhi ya watu wanalichukulia kwa mtazamo tofauti. Inasemekana kuwa awali, aliwahi kuhisi kwamba ndoto alizokuwa nazo huenda zilikuwa na asili ya kutatanisha au isiyoeleweka. Kwa mujibu wa simulizi lililonukuliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ole wetu, shetani ameshuka kwetu akiwa amejaa ghadhabu!

    Hii sio hadithi wala chitchat. Ni habari ya kweli. Ni ufunuo aliouona Yohana mnamo mwaka 95 BK, alipokuwa katika kisiwa cha Patmo. Mungu alimfunulia mambo mengi mazito, ya kutisha, yatakayotokea nyakati za kuelekea mwisho wa dunia. Katika sura ya 12:12 ya kitabu alichoandika, Yohana alionyeshwa...
  18. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Nyayo za Shetani

    Damiani ni kijana wa miaka ishirini na mbili, mhitimu wa chuo kikuu cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) akiwa amechukua kozi ya Finance and Accounting in Public Sector (kozi inayohusu maswala ya uhasibu). Mara baada ya Damiani kumaliza masomo yake hakutaka kubaki ndani ya jiji la Dar es...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

    Tuendelele kuvumiliana wakuu. Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe. Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan ) Au kwa jina jepesi kinaitwa PAMBANO KUU (KATI YA WEMA NA UBAYA) cha Ellen G White. Kitabu hiki kinasema Shetani ni...
  20. JamiiForums Tanzania Yerico hatakiwi kutumia jina la Mwalimu Nyerere

    Hello Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa. Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru ungechelewa sana. Kama ilivyokuwa kwa Steve familia ya Nyerere inahaki ya kutoka hadharani na kumpiga stop...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…