sheria

  1. JamiiForums Tanzania AG Kilangi kama mtu alichapa watu bakora kwa kuchukua sheria mkononi, yeye apate adhabu kwa mujibu wa sheria

    Kama kuna kipindi ambacho taifa la watanzania limeshudia mambo ya ajabu basi ni hiki kipingi cha awamu ya tano Kumekuwa na utendaji kazi ambao umeshangaza sana watu.Wasimamizi wa sheria wamegeuka kuwa kama wild animals. Ila tunashukuru sababu watanzania nao sio wajinga,ukizingua wanakuchana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ambayo ni mkataba kwa mujibu wa Sheria ya Mikataba ya 2018

    Makubaliano yote ni mikataba kama yatakuwa yamefanywa kwa hiari na watu wanaostahili kufanya makubaliano, kwa malipo ya kitu halali na ambayo hayajatajwa waziwazi na sheria hii kuwa ni batili: Mikataba yote inatakiwa iwe kwenye maandishi au ifanywe mbele ya mashahidi, au sheria yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 tuwe na taifa ambalo linatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria

    Habari za mwaka mpya wana JF. Tumeingia mwama 2021 kwa hiyo tunahitaji madalikiko makubwa sana kwenye maisha ya kila siku. Kama taifa tunatakiwa tuwe na taifa ambalo linafuatwa misingi ya utawala wa sheria. Rule of law ina maanisha kuwa hakuna atakaye kuwa juu ya sheria. Hii ina maanisha kila...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

    Habari za muda huu mwanajukwaa. Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata. Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mwigulu ataka sheria zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili Imeamriwa kufanywa hivyo ili iwe rahisi kwa wananchi kuelewa sheria hizo hususan wakati wa kesi na hukumu ili...
  8. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalao halina utawala unaofuata misingi ya sheria tutafika huko tunakoenda?

    Utawala wa sheria unataka viongozi na raia wa kawaida kuheshimu sheria na kuhakikisha wanafanya shughuli zao na kuishi kama sheria zinavyosema. Ibara ya 13(3) iko wazi kabisa kwamba haki za kiraia au masuala yote yanayohusu haki na au uvunjifu wa haki yataamuriwa na mahakama. Kama katiba...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, wapo watunga Sheria wenye sifa hizi?

    1. Watunga Sheria wenye vyeti feki 2. Wanaojua kusoma na kuandika 3. Waliowahi kutiwa hatiani kwa makosa ya uhujumu uchumi 4. Waliokataliwa na wananchi majimboni
  10. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo. Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake...
  12. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Ni zipi sifa za kusitisha ajira kihalali?

    Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali na sababu hizi za halali za kusitisha ajira, mwajiri ni lazima afuate taratibu za halali za kusitisha...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu? Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

    Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu. Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, Sheria inasema nini kuhusu ardhi ya mtu binafsi kutumika kwa ajili ya manufaa ya Umma?

    Sheria ya Utwaaji wa Ardhi ( Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002 katika kifungu chake cha 3 imempa nguvu na madaraka Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya manufaa ya umma. Rais anaweza kufanya hivi endapo tu ataona au watu wanataka ardhi hiyo kwa ajili ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa sheria ya kunyongwa hadi kufa haitekelezwi, kwanini isifutwe?

    Jana mkuu kasema hatatekeleza adhabu ya kunyongwa kwa watu walopewa hukumu hiyo, sasa nashauri sheria hii ifutwe badala ya kila anayekuja kuipotezea... ugumu uko wapi kuifuta sheria hii?
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya nguvu ya saikolojia

    ONEKANA (STAND ABOVE) . Kazi nzuri huwa hazionekani. Kama unataka kuwa na nguvu zaidi kazi nzuri tu haitoshi . kufanya kazi sana tu haitoshi ila unatakiwa ufanye kazi huku ukitambulikana (UKIONEKANA ) .Kazi yako isiwe overshadowed . Pata muda kuongoza na kujihakikishia unaonekana. UKITAMBULIKANA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…