Akichangia hoja katika uchambuzi wa Bajeti Kuu leo Bungeni, Mbunge wa Iringa Mjini amesisitiza kuwa Sheria zinazokandamiza Sekta binafsi ikiwemo Sheria iliyoundwa kudhibiti maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ziondolewe ili kuimarisha sekta hiyo
Amesema kuwa sheria hiyo inazuia...
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
Katika takwimu za matukio ya kikatili kwa baadhi ya watu mfano kubaka, ni tabia ambazo zimekuwa zikijirudiarudia, unakuta akihukumiwa maisha au miaka 30, akiwa jela anafanya tukio kama lilelile kwa mwanaume.
“Hapo unafikiri adhabu aliyopewa je, imemsaidia au la! Suala la maadili, kujitambua ni...
Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu.
Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila kujali maslahi ya kisiasa.
Ongezeko la wamasai wa Ngorongoro ni janga kwa mustakabali wa wanyama...
Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone.
Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi.
===
Russia’s Interior Ministry has created a new...
Kwa watu hasa wakristo ambao ndoa ya dini zao huwaminya kubanana na wake zao mpaka kifo na wanatafuta mbadala wa kufunga ndoa kwa mataraajio ya kuongeza mke hapo mbeleni, huwa wanadhani ndoa ya serikali / bomani ndio mbadala.
Uhalisia ni kwamba, ndoa ya bomani zipo za aina mbili, ya kwanza ni...
TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu.
Utangulizi:
Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua...
KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO!
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa ndio maana kinachukulia mambo kiholela, yaani mambo rahisi rahisi. Wazazi wanalojukumu la kuwaachia...
Habari wana JF,
Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka?
Sababu:
1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini
2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster
3. Sio...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
Leo nimesoma RIPOTI MAALUM kwenye gazeti la Mwananchi kuhusu kushamiri kwa biashara ya Ukahaba hasa eneo la Sinza jijini Dar es salaam suala ambalo limewalazimisha baadhi ya wakazi wa eneo maeneo hayo kuhama makazi na hata kutelekeza nyumba zao kwa kuwa inawawia changamoto kulea watoto.
Wakati...
Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii
Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake:
Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession).
Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria zinazotumika Mahakama zingine kama District Courts, Courts of Resident Magistrate, High Court n.k., hii ni kwa...
Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo.
Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna.
Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za...
Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo.
Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.