maana ya chitchat nini? kwanini mnafuta uzi wakati sijavunja sheria

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,096
mi nimeanzisha uzi wangu nizungumzie mambo yangu mwenyewe, sasa shida iko wapi mnafuta? mod muache kuchukulia mambo sirias
 
mi nataka niwe naandika mambo yangu mwenye niko chit chat, ghafla uzi umetoweka, sasa huku si kikubwa mtu asivunje sheria ?
 
Ukiendelea kuongea mwenyewe na huu tunaufuta !!
Halafu usiwe unakula vitu vichafu !! Wakati kuna visafi pure 😀😀
ed287c1e19add2f52deb76b812c39cc0.jpg
 
kama kuongea si uongee tu peke yako huko? CHIT-CHAT ina maana members wote tuhusike, tubadilishane mawazo, tucheke and so on...

Unatujazia server tu bure!
 
kama kuongea si uongee tu peke yako huko? CHIT-CHAT ina maana members wote tuhusike, tubadilishane mawazo, tucheke and so on...

Unatujazia server tu bure!
nikiandika ninachojisikia bila ya kumbugudha mtu kunna shida? mlivyokua mnakoment mimi nimemtukana mtu?
 
sasa bwaa niliandika uzi wangu jamiiforums nikitaka kuongea mambo yangu mwenyewe, chaajabu uzi ukavutwa. naingia niandike kitu changu nashaanga uzi haupo
 
kwahiyo hapa najua anaweza tokea mwengine akafuta na huu uzi ila ndo hivyo sijui nimefanya kosa gani
 
yani katika kazi rahisi ni kupoteza muda. unashangaa tu saa imeisha, kama utani vile, they used to say, the day is long and the decade is short, not anymore. the day is awful short as well now
 
Wewe tuambie tu hakuna shida, umefukuzwa kazi au ndoa imevunjika?
yani katika kazi rahisi ni kupoteza muda. unashangaa tu saa imeisha, kama utani vile, they used to say, the day is long and the decade is short, not anymore. the day is awful short as well now
 
mwanzoni nilijua ukifanya kazi unayoipenda utakua husikii uvivu kumbe sio kweli. yani inabidi tu ujilazimishe muda mwengine, najifunza jinsi ya kua na nidhamu
 
Unataka kuongea peke yako alafu unaenda kwa watu kuwaongelesha, hizo ni akili kweli!
kila kitu mtu anachokifanya kitamia akili, ni akili ndo ina generate ideas, imagination reasoning etc. so how correct the ideas are , not sure.
 
mwanzoni nilijua ukifanya kazi unayoipenda utakua husikii uvivu kumbe sio kweli. yani inabidi tu ujilazimishe muda mwengine, najifunza jinsi ya kua na nidhamu
Una shairi/misemo mizuri.
Tulia na uipange vyema.
Ina elimu ndani yake.
 
Back
Top Bottom