sheria

  1. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukisoma sheria ngazi ya diploma utaajiriwa?

    Sheria ngazi ya diploma utaajiriwa? Kazi utakazozizofanya ni zipi?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wataka Sheria ya Habari ishughulikie unyanyasaji wa waandishi wanawake, Serikali yatoa tamko...

    Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari. Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
  6. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa watanzania tujichukulie sheria mkononi.

    Wasalaam Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie...
  7. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ataka maeneo ya kiuchumi yatungiwe sheria

    Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sheria 212 zatafsiriwa kwa Kiswahili, unadhani hii itasaidia wakati wa kesi hasa kwa Watanzania?

    Nimesoma hii habari kutoka Bungeni, kabla sijazungumza ninachotaka kuzungumza, isome kwanza wewe mwenyewe uone.... **** Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Sheria 212 kati ya sheria 466 zilizopo hapa nchini, zimetafsiriwa kutoka kwenye Lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Maandalizi niliyoyaona kama Kesho Refa Kayoko akifuata Sheria zote 17, Kuna Timu itafungwa vibaya na hawatoamini

    Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi. Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania how do you feel?

    kijana wa 1990 to below bado hujafanya mambo haya; 1.huna hata godoro au kitanda 2.unaishi kwenu na huna mpango wa kuondoka 3,wenzako wakiwa na familia zao wewe kazi kuwatembelea 4.huna kazi zaidi ya kufatilia movi za wakorea 5.unatmia pesa kwenye mamboyasiyo na maana 6.kuzi kufatilia stori za...
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira za Kada ya Sheria

    Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei. Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za mifugo. Hivyo wadau zikitangazwa hizi za Sheria mnitaarifu mapema. Now naingia huko Chaka kufanya mavuno...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  14. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Habari wadau, natumai mko vizuri.... Iko hivi, kuna mshkaji wangu mmoja hivi yeye yuko mwanza huko. Juzi jumaatatu alitangaza kuuza simu yake kwenye mtandao flani wa hapa bongo. Sasa anasema ni watu wengi waliipenda Ile simu Ila kikwazo ni kwamba walikuwa wakiuliza kama ana risiti ya simu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sheria ya Kanisa Katoliki ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu

    Tumsifu Yesu Kristo Kwa wakatoliki, leo siku ya Ijumaa kuu ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. "funga Jumatano ya majivu usile nyama siku ya Ijumaa kuu".. ni moja ya sheria ya kanisa katoliki. KWANZA kabisa kabla ya kwenda mbali, lazima tujue kuwa, maana yetu ya msingi...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

    INASEMEKANA: _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima. *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza. *Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2: 1. _*Bilioni...
  17. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Fahamu baadhi ya sheria za kijamii zitakazokusaidia kuishi na watu vizuri

    1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya. 2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 632 kwa kuvunja sheria ndani ya wiki tatu

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
  19. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

    Muhali gani waungwana. Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala. Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/ Vyeti vikaletwa Mpaka vyeti kutoka nchi za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani. Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
Back
Top Bottom