Wanabodi,
Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona".
Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora?
Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini.
Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria?
Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa.
Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
Wakuu.
Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii.
Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali.
Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA
Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
UTANGULIZI
Imepita takribani miaka sitini tangu Watanzania tupate uhuru mwaka 1961 chini ya baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na sasa ni awamu ya sita chini ya rais wa Jamhhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Kwanza natoa pongezi kwa Serikali za awamu zote kwa kupambana...
Naomba nitoe dukuduku langu na naamini katiba ya nchi hii inanipa uhuru huu kwa maana sivunji sheria yoyote.
Miaka ya hivi karibuni, serikali imeingilia sana uhuru wetu. Kuna wakati watu walikuwa wananyakuliwa kwa sababu tu wametoa maoni yao mitandaoni na wengi wao wakaenda kufunguliwa kesi za...
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho.
Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
“Wanameremeta, wanameremeta”, sauti za akina mama zilisikika na vigelegele vilisikika hapa na pale. ‘’Shosti yetu kashauaga umaskini’’ Nyemo aliwaambia wasichana wenzake aliosimama nao huku akimuonyeshea Sapora na Dakute ambao walipanda gari kuelekea fungate. ‘’Cheki gari lile! Kuna usafiri na...
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.
1. Nani...
Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi.
Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi.
Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.