sheria

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo

    Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine. Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  4. JamiiForums Tanzania Rasmi: Serikali yaridhia kutungwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi. Amesema kwa mara ya kwanza sheria hiyo itasomwa katika mkutano wa Bunge utakaoanza Jumanne ya Septemba 13, 2022 jijini Dodoma huku akiwataka...
  5. JamiiForums Tanzania Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
  6. JamiiForums Tanzania Nimempenda mfanyakazi mwenzangu lakini sheria za ofisi zinazuia mahusiano kazini. Nifanyaje na vyote navitaka?

    Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala wa haki si sheria Afrika

    UTAMBULISHO Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo vya ukiukwaji wa haki na uhuru vinavyofanyika sehemu mbalimbali ndani ya bara la Afrika. Mwandishi...
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: "Tunakamilisha mchakato wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu. Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa na madai mengi ya sheria hiyo kutoka kwa watu binafsi na taasisi ikiwemo JamiiForums ambayo imekuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tozo ni matokeo ya malalamiko yetu

    Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi? Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na mafuta ya petroli. Kwa bahati sasa hivi vitu vile vilivyozoeleka vingi havijaguswa na vingine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya kulinda taarifa zetu na faragha ipo wapi?

    Baada ya kupita katika zoezi hili la sensa ya makazi na watu 2022 na kuona namna taarifa nyingi nyingi sana zinakusanywa kupitia maswali yanayoulizwa na karani, kwa kweli nimepata ukakasi na kujiuliza maswali mengi juu ya uhakika wa ulinzi na usalama wa mambo niliyoyaweka wazi “kwa nia njema...
  12. JamiiForums Tanzania Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  13. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za siasa katika Utawala wa Sheria

    Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora? Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
  15. JamiiForums Tanzania Australia: Sheria ya Usalama wa Mitandao kuzibana Apple, Meta na Microsoft

    Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtoto na Runinga, na je kuna sheria ya inayodhibiti Hilo?

    mtoto na runinga
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
  19. JamiiForums Tanzania maana ya chitchat nini? kwanini mnafuta uzi wakati sijavunja sheria

    mi nimeanzisha uzi wangu nizungumzie mambo yangu mwenyewe, sasa shida iko wapi mnafuta? mod muache kuchukulia mambo sirias
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya vyombo vya usafiri.

    Ndg wanajukwaa salam.Naomba kufahamu sheria inasemaje kwa wanaondesha vyombo vya moto bila plate namba?Hususanh pikipiki mana gari sijaona sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…