Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
4,975
9,718
Muhali gani waungwana.

Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala.

Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇


Vyeti vikaletwa

IMG_5046.png


Mpaka vyeti kutoka nchi za mashariki

images (2).jpg


Baada yakupitia vyeti hivyo kitu ambacho sikukiona ama kukisoma ni mchongo wa mwanandoa kuchepuka. Suala hili halipo kwenye makubaliano nikajiuliza sana maana watu kadhaa washatolewa marinda, kupata vilema vya muda na kudumu wengine kutolewa uhali kwenye ambush za fumanizi.

Nimepitia sheria ya ndoa uchepukaji haujazunguzwa pia, katiba nayo hivyo hivyo(joking)

Swali kwenu wanasheria na wajuzi wa mambo hii hali ya kuchepuka kuonekana kisheria sio sawa japo suala ilo halijatamkwa kama kosa ama kitu cha kuepukwa kwenye makubaliano ya ndoa.
 
Back
Top Bottom