Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

GPA sio ishu wazee ndio hao wamekataa kuachia madaraka , awe mpole tu vinginevyo atatafuta stress tu, kupata kazi za kibongo kunategemea mambo mengi sana including michongo bila hivyo atapata tabu sana , bora awe na mawazo ya kujitafutia nkipato mwenyewe kwa mishe zake lakini sio kuajiriwa.
 
Anapata kikubwa awe na connection mjini, ajira zote ni ngumu wanasheria ni wengi sana mitaani na hawana issue zaidi ya kuchambua siasa, atapata tu akiwa na connection , na awe na uwezo kichwani , vyeti havisaidii kufanya kazi
 
Back
Top Bottom