Habari wana JF,
Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka?
Sababu:
1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini
2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster
3. Sio wote huweza kufika Umri wa Kustaafu.
Wana JF mnaonaje Hili?