sheria

  1. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria yanaweza kusaidia kupunguza kutokuelewa baina ya watendaji

    Kwako Mhe.Rais wa JMT, Nakusalimu kwa jina la JMT...kazi iendelee. Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia afya njema na tumeweza kufika muda na wakati kwa neema zake Mwenyezi Mungu. Pia, nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utendaji kazi uliotukuka na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye Sheria ya ndoa Ni vyema kuwe na mabadiliko

    Nafikiri Ni wakati muafaka wa kufanya amendment za Sheria ya ndoa ili kuweka wazi baadhi ya Mambo, mfano wanandoa kukubaliana namna ambayo Mali zitagawanywa au kutogawanywa Kama wakiitengana, kuwepo na kipengele Cha idadi ya wenza. Dini zinaleta shida nyingi zaidi kwenye Mambo ya ndoa, kuwepo...
  5. JamiiForums Tanzania Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtoane Roho kwa mali alizoacha baba? Ijue Sheria ya MIRATHI, WOSIA na Usimamizi wa mali zitokanazo na Mirathi

    Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Tukisimamia haki na sheria, tutaondoa uvamizi

    TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
  8. JamiiForums Tanzania Je, sheria za ndoa nchini zilitungwa na Bunge la ngapi? Je, Bunge hilo lilikuwa na wanaume?

    Leo kuna mtu ameniuliza, kwamba sheria za ndoa nchini Tanzania zilitungwa na bunge la ngapi na mwaka gani, na katika bunge hilo kulikuwa na wanaume? Au lilikuwa ni shinikizo la kupata misaada toka nje ya nchi hivyo watu wakafumba macho tu na kupitisha hizo sheria? Huwezi ukawa na sheria...
  9. JamiiForums Tanzania Kha! Iran yaomba Taliban walegeze sheria za kidini za kuwanyanyasa wanawake

    Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini.... China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and education. The call came in a joint statement Thursday issued at the close of a visit to Beijing by...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sheria yoyote inayosema mtu aliyesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

    Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  12. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995

    Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
  13. JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA SEHEMU YA NNE (4) mr.georgefrancis21@gmail.com Ni siku nyingine tena tunakutana katika muendelezo wa mada yetu ambapo hapa tunapata elimu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kama kichwa cha somo kinavyoeleza. Sasa bila...
  15. JamiiForums Tanzania Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

    Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake Namaanisha nini? SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake...
  16. JamiiForums Tanzania Makosa ya Rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa Sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA. SEHEMU YA KWANZA (01) Mr. George Francis Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema, “Kwa hivyo, tukatengeneza sheria ili tuwafundishe watu hawa kwamba jambo hili hatulipendi...
  17. JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  18. JamiiForums Tanzania Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…