sheria

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania inatamka watu wote kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kwanini CCM inataka kuwapa kinga TISS?

    Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi. Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani? Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Shule ya Sheria Changamoto

    Shule ya sheria ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo ya kitaalamu kuhusu sheria na kuwapa wanafunzi stadi na maarifa ya kuwa wataalamu wa sheria. Shule za sheria zinatengeneza wanasheria wenye ujuzi ambao wanaweza kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu Kama vile mahakama,uchumi Ww...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chalaani kilichofanywa na TANAPA na TAWA kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa. Akizungumza na waandishi...
  7. JamiiForums Tanzania Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Warsha ya kujenga uelewa katika Sekta ya Kidigitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidigitali Tanzania

    Leo Jumanne Mei 30, 2023, Shirikisho la Wadau Wanaotetea Haki za Kidigitali Tanzania (Digital Rights Coalition Tanzania) limeandaa Warsha ya kujenga uelewa kwa Wadau katika Sekta ya Kidijitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidijitali Nchini Tanzania pamoja na kuwezesha...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT. "President Museveni has executed his...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kujiunga JKT kwa mujibu wa sheria 2023

    Wanabodi na wapiga kura wenzangu Nimeguswa na kushangazwa niliposoma tangazo kutoka kwa Mkuu wa JKT akitoa maelezo kwa vijana watakaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2023..maana yangu ni njema, kutaka ufafanuzi kwa jambo hili kulingana na maelezo yaliyotolewa. Inakuwaje serikali inashindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Damas Ndumbaro awasilisha marekebisho ya Sheria Mwaka 2023 na Urekebu wa Sheria wa Mwaka 2023

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMABRO AONGOZA TIMU YA WATALAAMU KUWASILISHA MAREKEBISHO YA SHERIA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Katiba na Shera, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Wizara...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa sheria ipi serikali inalazimika kusubiri utaratibu wa bunge kuwachukulia hatua wezi na mafisadi waliotajwa na CAG?

    Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...
  14. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

    Haina mantiki, na hakuna logic yeyote kwa kutoa nafasi za ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia pamoja na huyo mwanamke mwenye ni la mwanaume kwa 100%. USHETANI! Haina mantiki, na hakuna logic yeyote ya kumuongezea mwanaume mzigo wa kulipa house girl...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania: Wadau leteni maoni juu ya Sheria mbalimbali zilizopangwa kubadilishwa

  17. JamiiForums Tanzania Tufichue maovu, uvunjifu wa sheria na kukosa ustaarabu katika huu uzi

    JF Where we Dare to Speak. Ahadi ya mwana Tanu inasema nitasema ukweli daima Fitna kwangu Mwiko. Admins. Kwenye huu uzi tutaweka watu au vitendo vya kuvunja sheria, utovu wa nidhamu, kukosa ustaarabu, kuvunja amani na kuleta hali ya sintofahamu. So kila kitu kitakuwa kwa uwazi bila kusingizia...
  18. JamiiForums Tanzania Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

    Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
  19. JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge /Mwanasheria mwenye kuifahamu sheria ya fedha Za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Tunaomba atueleweshe tafadhali

    Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…