shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilishauri Shamba la Mbagala tusilitumie kwani lina Nuksi na 'Citizens' wameshalizindika mno 'Kindumba' hamnielewi tu

    Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza. Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa...
  4. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

    Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  6. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kulima Mahindi Mkoani Katavi

    Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto itapendza zaidi. Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote. Leteni offa.
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

    Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni. Sasa chukulia ulikuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  10. The bump

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika. Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika. Nyumba imekamilika inayofaa...
  11. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25 Heka 1 - 1m WhatsApp 0715160365 Mimi ndio mmiliki
  12. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mahari Tsh. 2,500,000/-! Niacheni ninunue shamba la kulima mpunga huko Mpanda

    Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3. Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

    Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Umenitumia weee, ukanioa, alafu umeenda kunitupa shamba, hivi wanaume mkoje

    Jaman wanaume mnaitwa huku Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi? Wanaume mkoje lakini?? NYUZI ZANGU ZINGINE: Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha...
  18. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Utunzi Jiko la shamba

    Mpe kijembe hiki ex wako au kibaraka yoyote Jiko La Shamba Kwangu huwezi kutamba, nimekutoa thamani Ewe mnukia vumba, hufai kuwa jikoni Bado unao ushamba, mapishiyo ya nyikani Wewe ni jiko la shamba, halipikii mjini Makozi na karatasi, kwako wewe zote kuni Hujui venye mikosi, vyote watia...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

    Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto. Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...
Back
Top Bottom