Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

Lickorium

New Member
Oct 14, 2023
3
3
Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha:

1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road
2. Lipo barabarani
3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji
4. Huduma za kijamii zipo

kwa mawasiliano zaid +255674213079
 
Bila bei haya ni maneno tu sio tangazo.
Eti upigiwe simu kwanza ili kujua bei, endelea kusubiri kupigiwa simu.
 
watu wenye hela hawaongei na picha we piga simu upewe details za eneo ukaangalie wizarani arafu uje nikupe na document zangu ndipo biashara ifanyike nyinyi mnaosema utapeli allah awasamehe sana faari naswira usizungumzie nafsi ya mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom