shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

    Umuofia kwenu! Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya...
  2. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shamba lingine la Uhuru Kenyatta lavamiwa

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok. Duru za kuaminika zinasema kuwa wiki iliyopita Mbunge wa Eneo hilo Ken Aramat, aliapa kuongoza morans katika harakati za...
  3. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Moto wazuka kwenye shamba linalomilikiwa na familia ya Kenyatta

    Moto mkubwa umezuka katika ardhi inayomilikiwa na familia ya Kenyatta karibu na barabara ya Eastern Bypass huko Ruiru, kaunti ya Kiambu. Mlipuko huo wa moto unakuja saa chache baada ya mamia ya wahuni kuvamia shamba la Northlands na kuharibu mali ya thamani isiyojulikana. Kulingana na ripoti...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kwenda shamba siyo ushamba

    “KWENDA SHAMBA SIYO USHAMBA, KWENDA SHAMBA NDIYO UJANJA COMPAIGN” UTANGULIZI Upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za vyuo imekuwa moja ya changamoto kubwa inayoikabili dunia ya sasa,ukosefu wa ajira kwa vijana umekuwa mwiba mchungu kwa serikali za nchi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mateso wanayopata wananchi wanaoishi kando kando ya shamba la mifugo la Utegi

    Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa. Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
  7. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Nimeshaandaa Shamba, Nimeshapiga Mashimo ya Mahindi je, naweza kufukia mbegu kabla ya Mvua kunyesha?

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa na majira ya huku niliko, mvua za kupandia zinatarajia kuanza kunyesha wiki ya Tatu ya mwezi March ambayo ishafika mimi nimeshaandaa shamba na nimeshapiga Mashimo na nimeshanunua mbegu. Je, naweza kufukia mbegu kabla ya mvua kunyesha? Nahofia nisije...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  11. Ozone star

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  12. Omari Makoo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la miti ya Mikalebeya linauzwa

    Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

    Habari zenu wakuu, Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza nijuwe ukubwa na bei. Unaweza nijibu hapo or kwa private. Nashukuru
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

    ..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania. ..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa. ..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo. ..serikali ni kama...
  16. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro Arusha, wananchi wazidiwa nguvu

    Wana Jamvi Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Tanzania Nimerudi kwa mara nyingine kukumbusha Mamlaka juu ya Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro kijiji kilichopo Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Siandiki kwa faida yangu, wala sina cha kupata isipokuwa furaha ya nafsi hasa pale haki inapotendeka kwa watu...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wakuu msimu wa kilimo umeshaanza. Twendeni shamba ili msimu wa mavuno tusiilaumu Serikali

    Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Habari, Shamba la miti (mitiki) LINAUZWA, heka 14 na nusu Miti: 4000 na zaidi yenye umri wa miaka 14 Bei: 500m miti elfu 4000 na kuendelea Mahali: Tanga, Muheza kijiji cha kiwanda Document: zina process manispa
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA yadai ilishamalizana na Mwekezaji wa shamba la Maua Kilimanjaro

  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Back
Top Bottom