shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CCM ni mfano halisi wa shamba la bibi, Mali za chama ni ulaji wa makada

    Wilayani kwetu tangu nikiwa mdogo, kuna kiwanja kilichotengwa kwa ujenzi wa Ofis za Chama Wilaya, kiwanja hiki kilikuwa kwenye prime area kinatazama barabara kuu. Wakubwa walifika bei na kumuuzia Mwarabu ambae amejenga Hotel. Mpaka sasa ofisi ya CCM ni ile ile iliyokuwa ya TANU. Kuna pesa za...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Lile shamba nililokuwa nauza hatimaye nimefikia hapa

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu kunakipindi nilikutana na changamoto flani nikataman niuze baadhi ya vitu kimoja wapo lilikuwa ni shamba langu lile la Kilosa. Nashukuru Mungu sikupata mteja maana bei nilio kuwa nauza na ninacho kiona sasa nilikuwa nauza bei sawa na bure. 1. Zao la ufuta...
  3. REDEEMER.

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

    Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja...
Back
Top Bottom