The Shahada (Arabic: ٱلشَّهَادَةُ aš-šahādah [aʃ.ʃa.haː.dah] (listen), "the testimony"), also spelled Shahadah, is an Islamic creed, one of the Five Pillars of Islam and part of the Adhan. It reads: "I bear witness that there is no deity but God, and I bear witness that Muhammad is the messenger of God."
The Shahada declares belief in the oneness (tawhid) of God (Allah) and the acceptance of Muhammad as God's messenger. In Shia Islam, a statement of belief in the wilayat of Ali is added. A single honest recitation of the Shahada in Arabic is all that is required for a person to become a Muslim according to most traditional schools.
Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo maarufu duniani kwa jinsi ya mchango wake kwa mtu mmoja mmoja, jamii kwa upana wake, taifa/serikali...
Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi.
Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
Mtaani kuna graduates wengi sana
wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
Habari za muda huu wana jamvi?
Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 as equivalent applicant (najiendeleza kutoka Diploma).
Shida yangu ni kupata ufadhili wa...
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani...
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 4 Dkt. Gharib Mohamed Bilal katika maafali ya 7 ya kutunuku shahada za Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela amewataka wahitimu hao kuwa chachu ya mabadiliko katika kukuza uchumi wa nchi.
Chanzo: DarMpya Twitter
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.
Kwa mujibu wa gazeti...
Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu
Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira?
Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili...
Mungu awabariki..
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.
Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.
Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.
Ndugu zangu ni ushauri tu.
Ninyi...
Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
Habari za Leo wakuu,
Najua huku kuna wenzangu tuliopitia hiki chuo kikongwe Tanzania kiitwacho Yohana University.
Hebu njooni tusemezane tujikumbusheni kidogo maisha ya campus.
Prof. gani alikuzingua sana kwenye kozi work.
Habari za leo wakuu,
Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya.
1. Bachelor of Commerce
2. Bachelor of Computer Applications
3. Bachelor of Commerce
4. Bachelor of Business Administration
Sasa wakuu kati...
Kuna kitu hakipo sawa kwenye ajira za walimu.
Kwenye kila kibali cha ajira kinachotoka idadi ya walimu wenye shahada wapatao fursa ya kuajiriwa serikalini huwa ni ndogo sana kulinganisha na walimu wa ngazi zingine za kielimu kama vile cheti na diploma.
Kielelezo kizuri ni ajira zilizotoka juzi...
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.