The Shahada (Arabic: ٱلشَّهَادَةُ aš-šahādah [aʃ.ʃa.haː.dah] (listen), "the testimony"), also spelled Shahadah, is an Islamic creed, one of the Five Pillars of Islam and part of the Adhan. It reads: "I bear witness that there is no deity but God, and I bear witness that Muhammad is the messenger of God."
The Shahada declares belief in the oneness (tawhid) of God (Allah) and the acceptance of Muhammad as God's messenger. In Shia Islam, a statement of belief in the wilayat of Ali is added. A single honest recitation of the Shahada in Arabic is all that is required for a person to become a Muslim according to most traditional schools.
Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma.
Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa,
Natumaini wote mko salama.
Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi.
Nina...
Hivi karibuni katika kuanza kwa mchakato wa udahili wa wanafunzi wa shahada mbalimbali katika Chuo kikuu cha sokoine( SUA) kumekuwa na mabadiliko kidogo ya uondoaji na uunganishwaji wabaadhi ya programu za shahada mbalimbali kama ifuatavyo
1. Shahada ya sayansi ya usimamizi wa malisho yaani...
Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe.
Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote...
Kosea vyote ila usikosee kuoa na kuchagua course ya kusoma chuo kikuu, utakuwa umeua future Yako.
Nauliza hii bachelor degree in Gender and Development kwa nchi kama Dubai Qatar Canada Sweden inaweza kunisaidia kitu??
Kwa wale wenye uzoefu na maisha ya nje ya nchi
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake.
Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?.
Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua.
Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui kusimamia fedha zako vizuri, diploma yako haina msaada mkubwa kwenye maisha halisi.
Fikiria hivi...
Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."
Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara...
Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
Habari wana JF
Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu.
Asanteni sana!
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu.
Napatkana Dar es Salaam
Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA
Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya Kimataifa Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Dkt. Hoyce Anderson Temu (PhD) amehitimu Shahada ya Uzamivu katika...
Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu.
Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
Anonymous
Thread
haki
hii
katika
maboresho
salama
serikali
shahada
usingizi
wanafunzi
wanaosoma
zao
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu.
Huyu mama alipenda udaktari. Alitumia madaraka ya mumewe kulazimisha vyuo vimtunuku shahada za heshima.
Hakuishia hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.