serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brightly

    JamiiForums Tanzania Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya - Inakuwaje Mstaafu wa Serikali anufaike na Mstaafu wa sekta binafsi asinufaike?

    Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje? Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame! Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
  5. Madimba jr

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Afisa gani serikalini?

    Naomba kujua wadau hii ni plate number ya afisa gani? au ni private number?
  6. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini

    Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
  7. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali. Hichilema amehoji “Kwanini...
  8. EzekielEmanuel1997

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari. Ni jambo la kawaida sasa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa malipo serikalini (MUSE) ndio unaoua morali za watumishi na kuchelewesha maendeleo nchini

    Habari! Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika. Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali. Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi. Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
  11. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ili kutatua suala la ajira, kuwe na ukomo wa muda wa miaka kumi kwa watu wanaoajiriwa serikalini

    Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama. Ni wazi kwamba miaka ya hivi karibuni kumekuwa na shida kubwa sana kwa watu mbalimbali kupata ajira serikalini licha ya kuwa na vigezo ya kuajiriwa. Viongozi na wadau mbalimbali wamekuwa wakitoa wito kwa vijana na watu kujiajiri lakini kiuhalisia jambo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  15. BintiTee

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya course za vyuo vya serikali hazitambuliki na mfumo wa utumishi serikalini?

    Habari wana Jf, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!nimekuwa na mshangao mkubwa kuona baadhi ya course tena za Bachelors kwenye baadhi ya vyuo vya serikali hazitambuliki kwenye mfumo wa ajira wa utumishi na kusababisha baadhi ya graduates kukosa haki yao ya msingi hata ya kufanya...
  16. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?

    Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Idara husika na ajira Serikalini acheni ubaguzi wa kuhitaji GPA. TCU pia jirekebisheni utendaji wenu

    Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

    Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na...
Back
Top Bottom