serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya elimu inavyoendeleza umasikini Tanzania

    Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
  2. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

    Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini . Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
  3. Katung'a

    JamiiForums Tanzania eMALALAMIKO: Mfumo huu wa kuwasilisha malalamiko serikalini utatekeleza majukumu kusudiwa?

    Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki. Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi? Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
  4. KING KIGODA

    JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kupata uhamisho Serikalini?

    Habari, Ni taratibu zipi nifuate ili kupewa uhamisho wa muda kutoka halmashauri moja kwenda nyingine au kwenda mashirika ya umma?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, funga mwaka iliyofanywa Serikalini ni balaa

    Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija. Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, waelekeze watendaji serikalini watoe mawasiliano yao ili wananchi wawape taarifa

    Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Media kwa Viongozi Wateule Serikalini

    Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao. Hawa ni wafuatao: 1. Lengai ole Sabaya -...
  8. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya maneno haya yanayotumiwa serikalini

    1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa 2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu 3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari 5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima 6. Tume mfano tume ya uchaguzi 7. Baraza mfano baraza la michezo 8. Wakala mfano wakala wa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

    Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua. Nakumbuka huko nyuma miaka Miwili imepita niliwahi kusema hapa hapa kuwa kama kuna Mshauri Mkuu namba Moja wa Rais au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtu kuteuliwa kushika nafasi yoyote Serikalini uwe ni walau kuanzia miaka 35

    Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma. Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
  11. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi na Watendaji Serikalini wameyapuuza mapendekezo ya Kamati ya kutathmini Covid-19?

    Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

    Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena. Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Namnukuu Mbowe ''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
  14. T

    JamiiForums Tanzania Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
  16. M

    JamiiForums Tanzania Clouds TV ( 360 ) na Clouds FM ( Power Breakfast ) mnajisikiaje kufanya Interviews na Watu wanaoharibu Serikalini?

    Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo. Nyie ndiyo Media mnayoongoza kutumika kujipendekeza na kuwapamba Viongozi wenye Sifa na kashfa mbaya walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime kubwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Biomedical Technicians/Engineers wanasahaulika sana kwenye ajira za serikalini. Tatizo ni nini?

    Biomedical Engineering ni moja ya idea muhimu kwenye sekta ya afya. Ni idara kama Pharmacy, Radiology, Medical Laboratory, Dental n.k Kwa Tanzania ni Idara changa sana katika hospitali zetu,Ilianzishwa na chuo cha DIT mwaka 2012 kwa ngazi ya diploma na wahitimu wake wa kwanza ni 2014, baadaye...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo wanajitolea Serikalini na mashirika yake wapewe kipaumbele ajira

    Kuna vijana wahitimu wa vyuo vikuu wengi wameajiriwa kwa mikataba ya kujitolea serikali za mitaa serikali kuu na mashirika ya umma. Hakika inauma sana unapoona mtu amesota miaka miwili halafu nafasi imetoka anaomba halafu anapewa mtu mpya hajatoa jasho lolote kujitolea. Kwa vyovyote yafaa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni msitegemee kazi za Serikalini!

    Tanzania kama Dunia inaondoka kwenye jela la kutegemea kazi za serikali. Kazi za serikali zunatakiwa ziwe za muhimu tu lakini kumekuwa na vijana wengi wanasubiri seeikali iwape kazi. Nawajulisha amkeni na tafuteni kazi kwenye kampuni binafsi, anzisheni miradi kama kilimo au katafute kazi nje...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia. Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku...
Back
Top Bottom