serikali

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali ya Tanzania, Maaskari wetu hususani Polisi na Watu wa Afya Waangaliwe kwa jicho la tatu, wako kwenye hatari sana.

    Pamoja na jitihada zao binafsi za kujikinga lakini, makundi haya mawili, watu wake wako kwenye hatari kubwa zaidi ya kuangamia na kuziangamizia famili zao. Huu ni ukweli usiopingika, watu hawa kutokana na uhalisia wa kazi zao wanakutana na watu wengi kwa siku, hivyo basi, nimuhimu wakaangaliwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya covid-19: Polepole awaambia viongozi wa Serikali huu si wakai wa kutisha watu au kuchukua hatua za kufedhehesha

    Hii ndio tweet yake: Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19 Wagonjwa wote ni Watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 wanatoka Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa idadi hiyo huku akisema...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

    Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
  6. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yanavyoongezeka natoa ushauri Serikali iagize hii dawa kwa wingi toka nchi za nje inapotengenezwa

    Mimi binafsi sio mtaalamu wa mambo ya afya,ila kidogo napenda kusikiliza ushauri hasa wa wataalamu. Tokea janga hili baya la ugonjwa wa Covid -19 kulipuka nimekuwa nikishinda katika luninga na kuangalia ushauri wa wataalamu wa afya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huu. Mfano Cnn mara nyingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania. Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni...
  9. JamiiForums Tanzania DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
  10. JamiiForums Tanzania Naamini mradi mkubwa kama Stiegler's Gorge haukosi dhahabu. Je, kama ndivyo zinaenda wapi?

    Jamani tuambiane ukweli hivi mradi mkubwa wa kuchimba eneo kubwa vile kama stiglaz goj utakosa madini kweli? Je, serikali inalijua hili na Kama hailijui basi ilifanyie kazi. Kama inalijua basi tuiulize je Kama Kuna dhahabu madini hayo yanaenda wapi? Isije ikawa mradi unajilipa wenyewe halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ina sukari ya kutosha, watakaouza sukari bei juu watafutiwa leseni zao

    Mkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Bei za kuruka ni hasara kwa serikali na wanunuzi

    Mdau wa Jamiiforums ameandika, Waziri wa Kilimo Joseph Hasunga amesema viwanda vyote huwa vinasimamisha uzalishaji mwezi Mei ili kufanya ukarabati, mwaka vimesimamisha miezi miwili kwa sababu mashamba ya miwa yamejaa maji na ndio sababu ya sukari kupanda bei. Kutokana na tabia ya kutodai risiti...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie wanaokwenda kinyume na maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwanza nitumie nafasi hii kuipongeza serikali kwa hatua inazochukua katika kukabiliana na hili janga la Corona. Lakini pia nionye kwamba, imeishadhihirika duniani kote kwamba kirusi hiki cha corona ni kama vile kinashambulia mifumo ya kimaamuzi ya kidemocrasia na mfumo wa maisha yaliyozoeleka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    Mh Waziri wa Elimu na Serikali tunaomba muingilie kati hili linaloendelea katika hii shule ya Academic International School ya hapo Dsm kwani wanawalazimisha Wazazi kulipa Ada ya term nzima wakati huu ambao tupo kwenye janga la Corona, shule zote zimefungwa na haijulikani ni lini hali itarudi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Corona ipi serikali ya Tanzania inapambana nayo? Wapi? Kwa kina nani?

    Nimefanikiwa kusikiliza "audio clip" ya mtu anayedaiwa kuwa ni Gloria Michael ambaye bila shaka ni mtangazaji wa TBC. Katika hiyo sauti iliyorekodiwa inaonekana dada huyu anakiri wazi kuwa amejiridhisha kuwa ana kila dalili inayoonyesha anaugua COVID 19 na kwa sasa yanaendelea vyema. Dada...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Serikali: Msiwaonee walimu haswa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata

    Halo wadau wa JF. Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona. Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, Msemaji wa Ikulu anaruhusiwa post taarifa bila kupata kibali cha Msemaji Mkuu wa Serikali?

    Ndugu zangu naomba kupata elimu na hii ni baada ya matukio kadhaa yanayotokea nakutuchanganya kidogo. Hivi Msemaji Mkuu wa Ikulu anaweza post kitu au maudhui yanayo muhusu Rais wa nchi bila pata kibali cha Msemaji Mkuu wa Serikali? Pili Je ni sahihi kwa msemaji wa Ikulu kupost au kuweka maudhui...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yangu uchukue ushauri huu, ambao tayari upo

    Kwa heshima kuu Nci yangu ni ya watu waelewa, viongozi watukufu. Mh Raisi na mamlaka yake achuur ushauri huu kuinua ari, hadhi na afya Ujenzi wa nyumba kwa utaratibu wa aina ya nyumba na hata mapambo yanayowekwa na wananchi. Ikumbukwe hii sio biashara ni Nchi na hadhi ya watu na afya zao Kwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania serikali itunge sheria juu ya mitaro iliyoko mitaani.

    Wananchi wenyewe tunachangia miundombinu ya serikali kuharibika,mfano mvua zinapokua zinanyesha wananchi wamekua na tabia ya kumiminia taka taka kwenye mitaro eti isombwe na maji,kitu kinacho changia mitaro na makaruvati kuziba.Hivyo pengine kupelekea mafuriko yasiyo na ulazima kwa watu waishio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…