Serikali kuanza kuwatambua wateja wa ATCL kwa lengo la kuwapatia huduma za ziada

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,584
223,166
FB_IMG_1572160198486.jpg

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr Leonard Chamuriho wakati wa Sherehe ya Mapokezi ya ndege mpya Jijini Dar es salaam .

Bado haijafahamika huduma za ziada zitakazotolewa nje ya zile zinazofahamika kwenye ndege zitakuwa huduma gani na zenye lengo gani .
 
Viongozi wetu akina Mdee na wengine wengi wataongoza list ya utambuzi na kupewa huduma za ziada

Wao ndio wateja wakuu
 
Huduma hiyo inaitwa "frequent flyer" kimombo.

Ni huduma inayotumika kwenye mashirika mengine ya ndege kwa miaka mingi sasa. Ni njia mojawapo ya kulinda wateja wenu wanaosafiri sana kwa ndege zenu wasihamie mashirika mengine. Msafiri akishaingizwa kwenye huduma hiyo basi kuna mambo fulani anafaidika nayo.

Mfano kuna mashirika unaweza kupewa upgrade ya tiketi yako kutoka daraja la kawaida kwenda daraja la biashara. Au kupatiwa hotel kwa punguzo la bei. Au kupatiwa tiketi ya bure kila safari kadhaa.

Ni mengi tu, inategemea na ubunifu wa kila shirika.

Dunia ya sasa ni dunia ya ushindani.

"The fittest of the fittest shall survive" - Bob Marley.
 
Huduma hiyo inaitwa "frequent flyer" kimombo.

Ni huduma inayotumika kwenye mashirika mengine ya ndege kwa miaka mingi sasa. Ni njia mojawapo ya kulinda wateja wenu wanaosafiri sana kwa ndege zenu wasihamie mashirika mengine. Msafiri akishaimgizwa kwenye huduma hiyo basi kuna mambo fulani.anafaidoka nayo. Mfano kuna mashirika unaweza kupeqa uogtade ya tiketi yako kuroka daraja la kaqaida kwenda daraja biashara. Au kupatiwa hotel kwa punguzo la bei. Au kuopatiwa tiketi ya bure kila safari kadhaa.

Ni mengi tu, inategemea na ubunifu wa kila shirika.

Dunia ya sasa ni dunia ya ushindani.

"The fittest of the fittest shall survive" - Bob Marley.
Shikamoo

akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa

Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
 
Huduma hiyo inaitwa "frequent flyer" kimombo.

Ni huduma inayotumika kwenye mashirika mengine ya ndege kwa miaka mingi sasa. Ni njia mojawapo ya kulinda wateja wenu wanaosafiri sana kwa ndege zenu wasihamie mashirika mengine. Msafiri akishaimgizwa kwenye huduma hiyo basi kuna mambo fulani.anafaidoka nayo.

Mfano kuna mashirika unaweza kupeqa uogtade ya tiketi yako kuroka daraja la kaqaida kwenda daraja biashara. Au kupatiwa hotel kwa punguzo la bei. Au kuopatiwa tiketi ya bure kila safari kadhaa.

Ni mengi tu, inategemea na ubunifu wa kila shirika.

Dunia ya sasa ni dunia ya ushindani.

"The fittest of the fittest shall survive" - Bob Marley.
Sawa ila kashafukuza mashirika mengine kama fastjet, kwahiyo anashindana na nani? Wateja wote niwakwake ila hawapandi why? hapo ndo ujue uchumu mbovu disposable income kwa watumishi na wafanya biashara imeshuka sana kuona kwamba kupanda ndege kuenda mkoani ni luxury
 
View attachment 1246044

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr Leonard Chamuriho wakati wa Sherehe ya Mapokezi ya ndege mpya Jijini Dar es salaam .

Bado haijafahamika huduma za ziada zitakazotolewa nje ya zile zinazofahamika kwenye ndege zitakuwa huduma gani na zenye lengo gani .
Du. Wacheni ushamba uliopitiliza. Ni hivi: Mashirika ya ndege duniani kote yana watu wanaoitwa ''frequent flyers''. Hawa ni wale wateja wanaotumia shirika fulani kusafiri mara kwa mara. Hawa wanapewa special treatments eg: ku-board kwenye ndege wa kwanza, mara nyingine kuwa-upgrade kwenda business class hata kama wamekata ticket ya economy etc etc. Hii ni kwa mashirika yote ili kuvutia wateja. Ni kama wewe una biashara yako eg Bara na kuna wateja wa kila siku na ukawaamua kuwapa huduma nzuri ya haraka.
 
Atcl

Mtapanda wenyewe, siku hizi haiji dzonga na xenophobia imeisha
 
Du. Wacheni ushamba uliopitiliza. Ni hivi: Mashirika ya ndege duniani kote yana watu wanaoitwa ''frequent flyers''. Hawa ni wale wateja wanaotumia shirika fulani kusafiri mara kwa mara. Hawa wanapewa special treatments eg: ku-board kwenye ndege wa kwanza, mara nyingine kuwa-upgrade kwenda business class hata kama wamekata ticket ya economy etc etc. Hii ni kwa mashirika yote ili kuvutia wateja. Ni kama wewe una biashara yako eg Bara na kuna wateja wa kila siku na ukawaamua kuwapa huduma nzuri ya haraka.

Yup.

Call them sky miles, frequent flyer miles, etc.

Ni loyalty program.

Now let me go back and check how many sky miles I have with Delta Air Lines....
 
Back
Top Bottom