Hii ni moja ya sababu kwanini wakati mwingine wakosoaji wa serikali hii wanaaminika kuliko viongozi wa serikali

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Walitangaza wenyewe. Hata press release waliandika wenyewe. Kwenye akaunti ya Twitter ya ATCL waliandika wenyewe. Sasa wameiondoa, na waziri anatafuta "mchawi" nje yao. Kuna kitu wanaficha. Kitafichuka tu!
 
Usiwe mjinga ile ilikuwa mbinu ya kiusalama juu ya ndege yetu na wadeni wetu uko nje ili itakapotua nchi yeyote kuongeza mafuta isiweza fanyiwa mchezo wowote mchafu kama kule kwa mkulima.

ingawa siungi mkono serikali kudaiwa ila inakuwa ni fadhea kukumatiwa ndege kizembe vile.
 
Kuna Watu wachache wanaotumika na Mabeberu kumtukana Magufuli

Hao ni Wasaliti wa Nchi tuwasubiri tuwaadhibu kwenye boksi la kura
 
Usiwe mjinga ile ilikuwa mbinu ya kiusalama juu ya ndege yetu na wadeni wetu uko nje ili itakapotua nchi yeyote kuongeza mafuta isiweza fanyiwa mchezo wowote mchafu kama kule kwa mkulima.

ingawa siungi mkono serikali kudaiwa ila inakuwa ni fadhea kukumatiwa ndege kizembe vile.
Ujinga ni kudhani kukwepa deni ndio kumaliza deni na zaidi kuamini hii ndege imenunuliwa ili iwe grounded mpaka madeni yaishe wakati huo huo tunakwepa kuyalipa.
 
Back
Top Bottom