Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi?
Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa...