NMB Watatoa Dividend ya 48 Billion mwaka huu, kwa Serikali na shareholders

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233
NMB declares 48bn/- dividend to govt, shareholders

THE government and other NMB Plc shareholders will pocket 48bn/- dividend payment this year which is equivalent to 45 per cent increase compared to 33bn/- paid in the previous year. Last year, the bank handed over 10.48bn/- dividend to the government, which holds 31.8 per cent shares.

The amount of dividend was endorsed by the NMB shareholders during the Annual General Meeting held in Dar es Salaam over the weekend that also approved earnings per share of 96/- compared to 66/- paid in the preceding year, thanks to the impressive 142bn/- profit made in the year under review.

“The bank has over the years maintained a healthy capital position and we intend to continue doing so.

To achieve this, it is crucial that we make the right decisions especially in anticipation of any regulatory changes in capital requirements,” Interim NMB Board Chairperson, Ms Margaret Ikongo said.

Ms Ikongo added that with an increase in net profit of 46 per cent from 98bn/- made in 2018, the Tier 1 bank was given a stable B1 credit rating by global rating agency, Moody’s, which confirms the confidence the international credit rating agency has in the country’s largest bank.

She noted further that the approved dividend payout is in line with the board’s position to strike a balance; maximising shareholders’ returns while also reinvesting funds into the bank’s business in order to finance its growth plans.

Speaking at a news conference later, acting Managing Director, Ruth Zaipuna stated that the bank’s strength and super profit making is a result of reducing operational costs and investing heavily in modern technologies.

Ms Zaipuna who has successfully steered the banking conglomerate for the past two years, said last year NMB launched alternative digital channels namely; NMB Mkononi and NMB Direct while also enhancing its NMB Wakala network.

“As a bank, we are committed to continue playing a leading role in driving Tanzania’s growth agenda through credit extension in the personal or household sector, agriculture, manufacturing and construction,” Ms Zaipuna noted.

She explained that the impressive 2019 results are an indication of the management’s turnaround strategy that sought to re-affirm three strategic pillars of deposits mobilization, revenue generation and diversification but also operational efficiency.

“We are the leading bank in the country, our best in-class governance, information technology and support systems make our customers’ deposits and savings safer with us,” she added while stressing that NMB is dedicated towards supporting micro and SMEs growth especially those dealing in the agriculture sector by providing capacity building through advisory services on better ways to invest in agri-business.

NMB Bank Plc is listed at Dar es Salaam Stock Exchange with Treasury and Netherlands based Rabobank as majority shareholders with 31 and 34 per cent respectively. The remaining shares are owned by minority shareholders and the public.
1591637659384.png

Hongera JPM kwa kuwafanya CEO's kufanya kazi kwa vitendo,
hizi pesa zamani zilikuwa zinachukuliwa na kina nani?
 
Ileje,
Mkuu majority share holders wa mashirika ya umma Tanzania walikuwa hawatoi gawio kwa Serikali, hilo limekuwa jipya tangu JPM aingie madarakani, (You can prove me wrong if you wish) wewe unakaa nchi gani?

Usituone hapa mkuu ukafikiri wote ni malofa tu kama wewe. BTW wapo wengi tu humu ambao wana trade kwenye LSE na NYSE mimi nikiwa mojawapo.
 
Mkuu majority share holders wa mashirika ya umma Tanzania walikuwa hawatoi gawio kwa Serikali, hilo limekuwa jipya tangu JPM aingie madarakani, (You can prove me wrong if you wish) wewe unakaa nchi gani? Usituone hapa mkuu ukafikiri wote ni malofa tu kama wewe. BTW wapo wengi tu humu ambao wana trade kwenye LSE na NYSE mimi nikiwa mojawapo.
Aisee! Kwa sheria yetu ya mashirika ya umma NMB sio shirika la umma, ni taasisi binafsi inamilikiwa na wadau mbalimbali kupitia hisa zao, serikali ni miongoni mwa wamiliki wa hisa hivyo wanapata mgao wa faida pale benki inapoamua kugawa sehemu ya faida kwa wanahisa. Anayemiliki hisa nyingi NMB ni Rabobank ya uholanzi.

Mashirika ya umma ni kama Hospitali ya Muhimbili, TBS, TMDA, Bandari, TANESCO N.K.
Hawa hautaona hisa zao zikiuzwa DSE, ni taasisi za serikali kwa 100%. Hawa siku zote wanatoa 25% ya mapato ghafi kama maduhuli ambayo MATAGA mnadanganyana kuwa ni gawio.
 
Umejiunga JF 2009 na hujui dividends anachukua nani?..Na umeandikiwa kabisa shareholders!....Dahh!...hii nchi hapana aisee

Tanzania watu walikuwa wanafanya biashara ya pesa za Serikali, ie wanazungusha pesa zile zile kwenye system na mashirika mengi ambayo majority share holder ilikuwa Serikali walikuwa hawatoi gawio au wakitoa ni kiduchu.

Leo hii kila shirika la umma mfano Banks ambazo Serikali ni majority wanatoa gawio, then kuna mashirika kama Stamico etc ambao walikuwa hawapati faida etc according to the datas tangu waanze wakati wa JK Nyerere hilo ndio swali liiloulizwa hapo juu?

Hizo pesa nani alikuwa anachukua? Go and figure it out? Hence the one who deserves the accolades is JPM. Ulitaka nije kukusifia wewe mburukenge kwa lipi?
 
Aisee! Kwa sheria yetu ya mashirika ya umma NMB sio shirika la umma, ni taasisi binafsi inamilikiwa na wadau mbalimbali kupitia hisa zao, serikali ni miongoni mwa wamiliki wa hisa hivyo wanapata mgao wa faida pale benki inapoamua kugawa sehemu ya faida kwa wanahisa. Anayemiliki hisa nyingi NMB ni Rabobank ya uholanzi.

Mashirika ya umma ni kama Hospitali ya Muhimbili, TBS, TMDA, Bandari, TANESCO N.K.
Hawa hautaona hisa zao zikiuzwa DSE, ni taasisi za serikali kwa 100%. Hawa siku zote wanatoa 25% ya mapato ghafi kama maduhuli ambayo MATAGA mnadanganyana kuwa ni gawio.

NMB majority ni Serikali na Robobank kwa 31% na 34% sasa hutaki hao wawe majority? Mojawapo akijitoa NMB wanakufa ndio maana yake. Hata huko unakosema Tanesco etc wakati wa BWM aliwapa SA kuendesha na hakukuwa na faida yoyote ile. I would not dwell on taasisi za Serikali etc. issue at hand it has not happened before. Mtakaa na chuki zenu binafsi kutokana na umasikini wenu wa akili.
 
Mkuu majority share holders wa mashirika ya umma Tanzania walikuwa hawatoi gawio kwa Serikali, hilo limekuwa jipya tangu JPM aingie madarakani, (You can prove me wrong if you wish) wewe unakaa nchi gani? Usituone hapa mkuu ukafikiri wote ni malofa tu kama wewe. BTW wapo wengi tu humu ambao wana trade kwenye LSE na NYSE mimi nikiwa mojawapo.
NMB siyo shirika la umma...aisee!
Hebu kajisomeshe kidogo! Serikali ina hisa kama mimi tu kule NMB.

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
NMB majority ni Serikali na Robobank kwa 31% na 34% sasa hutaki hao wawe majority? Mojawapo akijitoa NMB wanakufa ndio maana yake. Hata huko unakosema Tanesco etc wakati wa BWM aliwapa SA kuendesha na hakukuwa na faida yoyote ile. I would not dwell on taasisi za Serikali etc. issue at hand it has not happened before. Mtakaa na chuki zenu binafsi kutokana na umasikini wenu wa akili.
Kujitoa wakiuza hisa, wapo watakaozibeba na benki haitokufa labda isitengeneze faida..

Everyday is Saturday...........................:cool:
 
NMB majority ni Serikali na Robobank kwa 31% na 34% sasa hutaki hao wawe majority? Mojawapo akijitoa NMB wanakufa ndio maana yake.

Hata huko unakosema Tanesco etc wakati wa BWM aliwapa SA kuendesha na hakukuwa na faida yoyote ile. I would not dwell on taasisi za Serikali etc. issue at hand it has not happened before. Mtakaa na chuki zenu binafsi kutokana na umasikini wenu wa akili.
Akijitoa vipi? Hivi unaelewa limited liability companies zinavyoendeshwa kweli?
Soma sheria ya mashirika ya umma, utaona kuwa NMB, CRDB, TBL, TCC, Kilombero Sugar N.K sio mashirika ya umma, ni taasisi binafsi. Haziongozwi na sheria yeyote ya mashirika ya umma wala kupata ruzuku yoyote toka serikalini.

Serikali ikiamua kujiondoa inauza hisa zake na maisha yanaendelea kama kawaida. Kwakifupi umiliki wa hisa wa serikali kweye baadhi ya taasisi za sekta binafsi hauna tofauti na umiliki wako wa hisa kwenye taasisi hizo.

TANESCO haijawahi kubinafsishwa, kulikua na mpango lakini haukufikia tamani, ni shirika la umma kwa mujibu wa sheria, 100% government owned.

Na kwa taarifa yako hakuna shirika la umma linalofanya biashara na kuingiza faida, yote ni hasara tupu. Kuanzia TANESCO, TRC, TAZARA, ATCL, TTCL N.K

Mashirika ya umma yanayoonekana kuingiza mapato ni yale yanayofanya shughuli regulations kama vile EWURA, TBS, TMDA N.K. hawa mapato yao yanategemea tozo mbalimbali na sio biashara.
 
Mkuu majority share holders wa mashirika ya umma Tanzania walikuwa hawatoi gawio kwa Serikali, hilo limekuwa jipya tangu JPM aingie madarakani, (You can prove me wrong if you wish) wewe unakaa nchi gani? Usituone hapa mkuu ukafikiri wote ni malofa tu kama wewe. BTW wapo wengi tu humu ambao wana trade kwenye LSE na NYSE mimi nikiwa mojawapo.
Unaonyesha ujinga wako hadharani. NMB imekuwa ikitoa gawio tangu kabla ya Magufuli. Pia mashirika mengine hutoa gawio lakini hayatangazi.
 
Yawezekana walikuwa wanatoa ila hawakiwa wanatangaza...sasa safari hii hata akinyoa nywele mnataka mtangaze...
 
Unaonyesha ujinga wako hadharani. NMB imekuwa ikitoa gawio tangu kabla ya Magufuli. Pia mashirika mengine hutoa gawio lakini hayatangazi.

Weka ushahidi hapa na stats! wacha kupiga kelele kama kasuku.
 
Walikuwa wanatoa ila kelele hazikuwepo
Ileje,
Mkuu majority share holders wa mashirika ya umma Tanzania walikuwa hawatoi gawio kwa Serikali, hilo limekuwa jipya tangu JPM aingie madarakani, (You can prove me wrong if you wish) wewe unakaa nchi gani?

Usituone hapa mkuu ukafikiri wote ni malofa tu kama wewe. BTW wapo wengi tu humu ambao wana trade kwenye LSE na NYSE mimi nikiwa mojawapo.
 
Wewe ni mjinga. Hazina siku zote wamekuwa wakipokea

Huo ndio ushahidi wako? inachekesha sana yaani ushahidi tukauchukue hazina kwa sababu tu huna ushahidi ku-prove your narrative. sishangai ndio JF ya siku hizi, zamani ulikuwa unaandika na facts sio majungu na propaganda.

BTW aliyeshika mpini hivi sasa ni JPM na matokeo yanaonekana wenye wivu jinyongeni. Mwerevu come on bring the data.
 
HUWA NASHANGAA SANA NINAPOONA WATU WAZIMA TENA WANAOJIITA WASOMI WAKISHINDWA KUBISHANA KWA HOJA MPAKA WATUKANANE KWA KUDHALILISHANA!
 
THE government and other NMB Plc shareholders will pocket 48bn/- dividend payment this year which is equivalent to 45 per cent increase compared to 33bn/- paid in the previous year. Last year, the bank handed over 10.48bn/- dividend to the government, which holds 31.8 per cent shares.

The amount of dividend was endorsed by the NMB shareholders during the Annual General Meeting held in Dar es Salaam over the weekend that also approved earnings per share of 96/- compared to 66/- paid in the preceding year, thanks to the impressive 142bn/- profit made in the year under review.

“The bank has over the years maintained a healthy capital position and we intend to continue doing so.

To achieve this, it is crucial that we make the right decisions especially in anticipation of any regulatory changes in capital requirements,” Interim NMB Board Chairperson, Ms Margaret Ikongo said.
Hongereni NMB. Lakini tunawataka muendelee kuboresha huduma zenu hasa katika branches zenu mbalimbali na hata utoaji wa mikopo. Acheni milolongo mirefu isiyokuwa na tija. Mtaendelea kupoteza wateja na kuwanufaisha washindani wenu - hasa CRDB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom