serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kupunguza muda wa kusoma darasani, vijana wanazeekea shuleni!

    Ukweli ni kwamba mambo mengi yanayofundishwa shule ya msingi ndio hayo hayo yanafunzwa shule ya sekondari. Ushauri wangu ifanyike review ya mitaala ya elimu yetu na masomo yanayowezesha elimu ya kujitegemea yaongezwe. Tupunguze mfumo wa elimu ya white colar na badala yake tuweke mfumo wa elimu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

    Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali itueleze hatma ya shamba la mifugo la Utegi

    Sisi wananchi wa Vijiji sita vinavyozunguka shamba hilo tulipewa shamba hilo baada ya kukidhi masharti tuliopewa na Serikali. (1) Sharti mojawapo ni kutolipwa fidia ya uhamisho kwa wananchi waliokuwa wanaishi katika shamba hilo. (2) Kulipa kiasi cha Tshs.90,000,000 sharti lililotekelezwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  5. JamiiForums Tanzania Serikali sasa kuna ulazima wa soko kuu Bunju au Tegeta na barabara njia mbili

    Wana JF, Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

    Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali. Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kuweka sheria ya kuwabana wasiovaa maboya kwenye Vyombo vya Majini

    Sheria kubana wasiovaa maboya yaja. SERIKALI iko mbioni kutunga sheria itakayowaadhibu watu watakaopanda vyombo vya majini hususani mitumbwi bila kuvaa boya wakiwa baharini au ziwa lolote nchini. Akizungumza wakati akitoa elimu kwa wananchi mkoani hapa katika Mwalo wa Ujaluoni, Lunazi, Kata ya...
  8. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  9. JamiiForums Tanzania CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

    Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia. Zambia 2-0 Tanzania Sikombe 64' (P)...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kufufua mgodi wa Buzwagi uliofungwa na Acacia kwa madai ya Madini kuisha Ardhini

    PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania imesema, mgodi huo, uatendelea kufanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Acacia iliamua kuufunga mgodi wake wa Buzwagi, uliyopo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

    “Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,” Hayo yamesemwa na Magufuri...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Magufuli ashuhudia utiaji saini mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya LZ Nickel. 'Multipurpose Smelter' kujengwa Kahama

    Tukio liko mubashara TBC na Upendo tv. Karibu. Up dates; ======= 10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa. Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo yasema Serikali imeruhusu mazao ya kilimo kuuzwa nje ili kuwaimarisha Wakulima kiuchumi

    Serikali imeruhusu mazao ya chakula kuuzwa nje ya nchi ili kutoa fursa kwa Wakulima kunufaika na mazao mbalimbali wanayoyazalisha. Imesema kuwa itakuwa ikitoa vibali kwa wafanyabiashara wa mazao. Hayo alisemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, walipokuwa kwenye ziara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndiyo kusema kuwa kwa hili Bodi ya Utalii na Serikali imefanikiwa au ni jambo la Kawaida ila Ushamba unatusumbua tu?

    Kocha Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United. "Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika. Unajua ni nini kitatokea?-utaganda na...
  18. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaodaiwa na TTCL kukatiwa huduma baada ya Januari 31 endapo hawatalipa madeni

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameliagiza shirika la mawasiliano Tanzania TTCL kufuatilia madeni ya malimbikizo yote inayoyadai mashirika mengine ya Umma na yakishindwa kulipa hadi januari 31 yakatiwe huduma. Huduma hizo ni simu na intaneti ambapo hadi sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Kahama kwa muda usiojulikana

    Kufuatia kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Serikali imelazimika kupiga marufuku uuzaji, usafirishaji na ulaji wa nyama ya nguruwe kwa muda usiojulikana baada ya kuripotiwa ugonjwa huo kusambaa kwa kasi na kusababisha vifo vya wanyama hao zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…