serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tazama video ya Jussa, jiulize ilikuwaje ACT Wazalendo ikaunda Serikali ya mseto

    Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

    Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko. Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu yaani kuwa na hospitali zenye hadhi. Moja tatizo la sasa ni changamoto ya upumuaji. Je, tupo imara...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za Utotoni: Ushauri kwa vyombo mbalimbali vya Serikali

    Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma kama ilivyoanishwa na kanuni za ubora wa huduma za mwaka 2018. Hata hivyo, mamlaka hiyo imezielekeza kampuni hizo kutozipeleka fedha hizo TCRA badala...
  6. JamiiForums Tanzania Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo. Charles...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali itatoa ajira kwa usawa?

    Jamani wanajamvi, Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa. Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya...
  8. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zinasaidia kupotosha ufahamu wa watu kuhusu COVID-19. Hata Vyuo vikuu!

    Kinachotokea nchini ni mchanganyiko ni ukosefu wa maarifa toka kwa wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo. Kama alivyosema Mganga mkuu wa serikali, kuna watu wanataka kusikia kinachosemwa na viongozi ndo wachukuwe hatua za kujikinga. Bahati mbaya wanaotakiwa kusema hawasemi ukweli. Masikitiko...
  9. JamiiForums Tanzania UNICEF ikishirikiana na serikali za nchi jirani husika inasambaza chanjo za COVID duniani

    Across the world grandparents, parents, healthworkers, and other frontline workers are sharing what receiving the COVID-19 vaccine ✌.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

    Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka. Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi. Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

    UTANGULIZI 1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA. 2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU. 3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE. HOJA 1. Siyo siri kwamba kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

    Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu. 1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  15. JamiiForums Tanzania Yaani wasanii wengine hawamo Wikipedia na wakati wanafahamika au wanasubiri serikali iwaenzi

    Kuna wasanii hawamo Wikipedia sasa nashangaa sijui wamepungukiwa nini, mtu kama soggy doggy, D.knob siwaoni au ninyi ndugu mnawaona? Ebu waambieni wafanye hivyo, Hivi madogo wa baada ya miaka 50 mbele watawatambuaje? Ndio nasikia watu wanalalamika eti serikali haitunzi historia, kama ni hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa mpaka Machi 30. Serikali kujenga shule mpya zaidi ya 1000

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini. Waziri Mkuu Majaliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu

    Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani. Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aahirisha Bunge na kuwataka Wabunge kuzingatia masharti ya Serikali kuhusu afya zao pia madereva wao wasikimbie hovyo

    Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30. Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
  19. JamiiForums Tanzania Tusaidie Serikali kubuni na kutoa mapendekezo mapya ya Kodi ili kuimarisha mpango wa kujitegemea

    Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha. Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee. Ni Jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali imekanusha madai ya uwapo wa kodi kandamizi kwa wafanyabiashara bali imetengeneza kodi rafiki

    Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi. Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…