Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN na DENSIFICATION yenye jumla ya gharama ya Tsh 68bn, ambayo itayafikia maeneo zaidi ya 120 katika...
Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
====
Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
Ati kumefanyika uteuzi wa baraza la mawaziri. Ningekuwa Rais. Waziri kashindwa kuleta tija katika muda alokaa katika wizara ni kumuondoa na kuweka mtu mwingine. Tanzania ina wabunge 300 na kitu lakini bado kuna Watanzania millioni 60.
Ndo kusema hao mawaziri wenu ndo watu wenye uwezo pekee...
Shalom from Jerusalem.
Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi.
Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri.
Mnaanzisha...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona
Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona.
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano...
Macho na masikio ya wananchi yapo Dodoma kwenye Bunge la Bajeti kufuatilia ikiwa bajeti hii itakuwa mkombozi kwa wananchi ama la.
Ikumbukwe bajeti nyingi za awamu ya tano zilijielekeza kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo mathalani ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR, Stieglers...
Mimi naamini hii ni serikali ya awamu ya 6 kwa sababu Rais Samia atapata fursa ya kugombea urais mwaka 2025 kukamilisha vipindi viwili vya kikatiba.
Ni vema serikali ikaliweka wazi hili ili wananchi waweze kufocus kwenye maono ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo...
JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya.
Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake.
=====
JAMES...
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu.
Hana makando kando...
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.
Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali...
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020
Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia na taasisi zinazokabiliana na tuhuma mbalimbali, ili kutoumiza watu wasio na hatia.
Wito huo umetolewa leo Jumatatu tarehe 29 Machi 2021, na...
Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka.
Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
Kwanza pongezi kwa kuingoza Tanzania kwa busara.
Ombi langu tusaidie wananchi kuhusu Huduma za tehama. Ni aibu kwa taifa hili lenye miaka zaidi ya 50 lakini huduma zetu za Tehema ni very poor, unprofessional.
Ukiboresha huduma za tehama, utasaidia wananchi wengi kupata huduma kwa wakati na...
Baada ya kuona tangazo la zawadi nono kwa atakayefanikisha kutiwa nguvuni Kigogo2014, nili'follow' ukutasa huo ili nifatilie kinachoendelea.
Lakini baada ya muda mfupi, ukurasa huo haupatikani tena. Ama kweli tumekosa 'zawadi nono' kwa atakaempata kigogo2014.
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Inashangaza sana kuwa mpaka watu wametunga neno la kihuni kuwa kulikuwa na genge la kisukuma lililounda serikali na kuhodhi madaraka "sukuma gang". Najua bado tupo msibani lakini tukiwa tupo tunasubili maziko sio mbaya kujadili moja mbili tatu.
Serikali ya awamu ya tano ilianza kulalamikiwa...