serikali

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wamechoka serikali kukopakopa

    Huko Kenya wananchi wamechoka na kitendo cha serikali yao kukopa kopa mara china, mara WB mara IMF
  5. JamiiForums Tanzania Mapema sana Mimi kuanza Kucheza Ngoma inayopigwa na Serikali ya Awamu ya "Sita" Nitasimama pembeni.

    Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita. Kama alikuwepo haya anayoyashangaa leo na kuyakosoa akinanga Serikali ile yalifanyika yeye akiwa kwenye Coma? Hakujua kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali itoe Ngao ya Uzalendo na Ushujaa uliotukuka kwa Simba S. C. Na pia lifanyike hili

    Kitendo ambacho Simba imefanya ni kitendo cha Uzalendo na Ushujaa Uliotukuka. Ni kitendo cha Kuigwa kwa Kila Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla. Simba imepambania Taifa la Tanzania ikiwa imeweza waunganisha hata na wachezaji wa nchi nyingine kuipambania Tanzania. Sasa mwakani Tanzania tunaingiza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

    Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloshauriwa na watumiaji wa Mitandao?

    Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti. Lakini hii sio sababu ya kusema kuwa serikali iwe na watumishi amabo inawalipa mishahara alafu hawajui masuala ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mpeni muda Rais Samia Suluhu aipange Serikali yake

    Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la...
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi: TCRA, Ndugulile na Serikali mmetufanya Watanzania kama watoto wadogo

    Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia. Kifupi Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Ni computer (system) gani inayochukua siku nne kufanya mabadiliko? Kwanini waziri mwenye dhamana asiwajibishwe?

    Kuna watu wanaleta utetezi kua mitandao ambaayo haijabadilisha vifurishi ni kutokana na suala la programing, pia kwenye gazete wanasema inaeeza kuchukua siku zaidi ya nne, mpaka leo hii bado mitandao hiyo haijabadilisha vifurushi. 1. Je, ni kweli wataalamu wa serikali wanaamini kua system...
  13. JamiiForums Tanzania Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

    Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24 Hii itafanya uchumi uende haraka
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali nendeni nyumba za ibada kusali na kuondoka matamko ya kiserikali upo utaratibu wake rasmi msiige tabia ngeni zisizo faa..

    Kwanza kabisa niwaombe msiwe waongeaji sana hii itaanza kushusha heshima yenu maana kupitia kuongea sana ndipo watu hupima busara zenu na kila neno litokalo vinywani mwenu hubebwa kama hoja na yaweza zua mjadala kama sio kuchora picha halisi ya mwenendo wa serikali hivyo vinywa vyenu mjitahidi...
  15. JamiiForums Tanzania Ili kupata kodi ya mapato ya trilioni 2 na zaidi, Serikali itumie sensa kikamilifu na itambue raia wanaozaliwa na wanaotimiza umri wa miaka 18.

    Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima. Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe kwanza pesa ilizowapora wafanyabiashara....

    Serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia Suluhu imeanza kazi kwa kutoa wito kwa wafanyabiashara wote hapa Tanzania na nje ya Tanzania kurudi na kuendelea na biashara hapa nchini baada ya baadhi yao kufilisika, kususa, kukimbia au kupunguza mitaji tangu utawala wa Magufuli aingie madarakani...
  17. JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa Serikali kufikia lengo la Trilioni mbili kwa mwezi

    MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI. Leo 12:15hrs 04/04/2021 Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
  18. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…