Wananchi wamechoka serikali kukopakopa

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871

Huko Kenya wananchi wamechoka na kitendo cha serikali yao kukopa kopa mara china, mara WB mara IMF
 
Kenya na nchi nyingi za Africa, hazina tofauti na baba mwenye familia ya watoto sita wa kiume. Alafu Hana kazi maalum/ya kudumu.
Imagine kinachotokea.
 
Wenyewe humu wakina MK254 wanajitapa wapo vizuri, ndani ya miezi miwili wameingiza Ksh 1.1 til,huku mnalalamika mna mizigo ya madeni.

Sasa sijui tushike lipi 😂😂😂.
 
Tegemea deni la tanzania kuongezeka kwa spidi ya supersonic. Rais kaja na approach ambayo hana namna atakopa kwa wingi sana.
Uzi unahusu wananchi wa kenya wanaiomba IMF isiwakopeshe serikali ya Kenya sababu ina madeni mengiii

Sasa Tz inakuja vipi tena
 
Wenyewe humu wakina MK254 wanajitapa wapo vizuri, ndani ya miezi miwili wameingiza Ksh 1.1 til,huku mnalalamika mna mizigo ya madeni.

Sasa sijui tushike lipi 😂😂😂.
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni, Kenyans are speaking up. It's interesting other countries are lauding us for this move yet you want to make fun of it.
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni, Kenyans are speaking up. It's interesting other countries are lauding us for this move yet you want to make fun of it.
Muache uwongo,mara huku mmeingiza 1.1til,huku mnalalamika una mzigo wa Maddi,mnajifanya wapana kumbe mwili wenyewe size ya Fidodido.

We si useme hela huna.
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni, Kenyans are speaking up. It's interesting other countries are lauding us for this move yet you want to make fun of it.
Tuache utani deni la Kenya linatisha aisee nearly 90% ya pato la serikali linaishia kuulipa deni! si mchezo mkuu
 
Moja ya sababu kubwa ya Kenya kukopakopa iliwekeza na kuamini mno kufanya biashara na wazungu, hili janga la Corona limewaathiri sana
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni, Kenyans are speaking up. It's interesting other countries are lauding us for this move yet you want to make fun of it.
Hahahaha, other countries are lauding you but your own citizens and intellectuals are against it, which stupid countries are lauding you, mention one.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
wewe tak kweli!!

sasa tukatae mikopo ipi ambayo inaelemea uwezo wa nchi!!
au unaforce tufanane??
boss elewa kenya haikopi kwa sababu imelemewa..kuna baadhi ya watu ambao wanaitwa cartels..hao ndio walafi na wamegundua jinsi ya kupata pesa kwa urahisi na kuipora...na hii si mara ya kwanza kutendeka..imefanyika tangu wakati wa raisi moi..watu wanaiba kuiba..lakushangaza hayo yote yanatendeka lakini hutawai kusikia uchumi wa kenya imeshuka chini..scandal zimekua mingi ata kuhesabu ni shida.
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni, Kenyans are speaking up. It's interesting other countries are lauding us for this move yet you want to make fun of it.
Uhuru kamsweka mwandishi wa habari Kiama lock up baada ya tangazo la kibonzo
 
Treasury is set to roll out new taxes to raise money to repay loans . An mp from central kenya has proposed daylight tax to be charged on buildings in major towns the proposed rate is 20 shillings per square foot of windows and breathing tax that will see each citizen charged 200 per year for breathing.Parliament will debate these new taxes
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom