serikali

  1. Serikali mwangalieni kwa jicho kubwa meneja TRA wa Masasi

    Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao malalamiko yao makubwa ni kutoka kwa Meneja wa TRA Masasi Huyu jamaa anazorotesha sana biashara kwa...
  2. Ukweli usio mchungu: Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kupambana na ufisadi na ubadhilifu

    Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf. Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh kama wanachukua sh mia mbil ya kula karanga. Alichofichua leo waziri mkuu ni ushahidi tosha kuwa...
  3. Mwelekeo wa sera za Tanzania kwa kuzingatia maudhui ya Ilani ya CCM ya 2020-2025: Je serikali itaweza kutimiza ahadi hizi zote kwa wakati?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli I. UTANGULIZI Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji mkali kutoka kwa vyama vikuu vya upinzani vya Chadema, ACT Wazalendo na CUF. CCM imepata wabunge 261...
  4. Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

    Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali. Tukirejea miaka 5 ya kwanza ya Magufuli, DC Sabaya wa Hai, anaonekana alipewa "kazi" maalum ya "kumkaba"...
  5. S

    Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka...
  6. Mganga mkuu wa serikali aagiza majibu ya vipimo vya COVID-19 kutolewa baada ya saa 24

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi...
  7. Serikali kuanzia Julai 1, 2020 ilirekebisha viwango vya PAYE. Sasa itoe maelekezo kwa Trade Unions na NHIF kupunguza makato

    Serikali kuanzia July 1, 2020 ilifanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mishahara (PAYE) na kutoa unafuu fulani kwa watumishi. Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya japo tunahitaji iende zaidi ya hapa kwa kuhakikisha inaboresha mishahara ya watumishi kwa kuiongeza kila mwaka. Kama serikali...
  8. M

    Serikali hasa Hazina Kuwawahishia Wanajeshi Mishahara Mwezi huu mnatusababishia Kero tu Mitaani Usiku huu

    Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata...
  9. Kuwabana Wakurugenzi kuhusu V8 ni usaliti wa CCM na Serikali yake kwao. Bila wao hali ingekuwaje?

    Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Miji Midogo ndiyo waliopanga na kupangika kwa mipango iliyoiwezesha CCM kushinda kwa kishindo. Wao ndiyo walioratibu taratibu bila tabu mbinu zote za ushindi wa CCM kwa mwamvuli wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wakurugenzi ndiyo walipokea maagizo ya...
  10. T

    Ushauri: Serikali idhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV nchini

    Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV. Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji. Hata Ulaya...
  11. T

    Katibu wa Tume ya Utumishi wa walimu adai walimu ndio wanalipwa mishahara mizuri kuliko mtumishi yeyote Serikalini

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu amesema walimu ndio kada ya watumishi wa umma wanaolipwa mishahara mikubwa kuliko kada nyingine yoyote. Naibu Katibu Mkuu amesisitiza kuwa walimu wanalipwa mishahara mikubwa sana nchi hii kuliko kada nyingine zote. Naibu waziri ameyasema hayo kwenye kipindi...
  12. UN watoa wito kwa Serikali kuwalinda wanahabari

    Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa tangu kuwepo kwa janga la #COVID19 vyombo vya habari vimekuwa vikipewa nafasi finyu. Ameandika kuwa wafanyakazi wa vyombo vya habari wamekuwa wakipata mazuio na adhabu katika kutimiza wajibu...
  13. Huu ni muda mwafaka sasa kwa Serikali kuwaajiri Watumishi wote wa umma kwa mkataba maalumu!

    Kutokana na uzembe maofisini, Ni vyema sasa Mfumo wa ajira ukabadilika haraka iwezekanavyo. Mfumo ambao upo, umewafanya watu kuzoea kazi ili hali huko nje kuna watu wachapa kazi na hawajapata chansi ya wapi wakatumikie taifa lao. Mfumo uliopo, ndio ulioleta uzembe maofsini, Kwa sababu mtu...
  14. Ujenzi wa Ofisi za Serikali: Nazo tuchangishane!!!

    Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma (Dodoma Mjini kabisa). Jioni moja nikachanganya makongoro kwenda kumsabahi rafiki wa muda mrefu mitaa fulani anayoishi, panafahamika kama Iringa Road. Muda wa kutoka, tutoke na jamaa, shemeji akamkumbusha kuhusu tangazo lililotolewa la uwepo wa mkutano wa mtaa...
  15. B

    Kwanini Serikali ina kigugumizi kuhamasisha wananchi kuchangia ujenzi wa madarasa?

    Nimebaini kwamba hakuna Serikali, chama au kiongozi anayeweza kuijenga nchi, kuleta maendeleo ya nchi au kufanya mambo makubwa ya wananchi akiwa peke yake. Dhana ya ushirikishwaji wananchi ni dhana ambayo ina mifano mingi na watu wengi ikiwemo nchi na vyama vimenufaika sana. 1. Sera ya Elimu...
  16. K

    Serikali izuie safari za Uingereza na Afrika Kusini haraka

    Leo tumeamka na taarifa ya kuibuka kwa aina mpya ya kirusi cha Corona huko Uingereza na Afrika Kusini; Kirusi hicho kipya kina uwezo wa kusambaa kwa haraka zaidi ya 70% ya kirusi cha kawaida. Kufuatia kuibuka kwa aina hiyo mpya ya Kirusi nchi kadhaa zikiongozwa na Ujerumani tayari zimepiga...
  17. Serikali yangu: Tanzania itakuwa na mabilionea wa kisiasa au kiuchumi?

    Serikali yangu, Salaam! Dhamira yenu kuhusu katika utawala wenu kuongeza mabilionea wapya ni nzuri, endelevu, zenye baraka. Lakini huenda dhamira na nia zenu zisilete matokeo chanya pale tutakapojilinganisha au kulinganishwa na nchi majirani zetu. Nimeandika haya ili tujitathmini na kuwa na...
  18. Je, hapa Serikali haijawatapeli walimu? Tafakari hili

    Kwa mujibu wa mwalimu mmoja aliyepo wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora ambae yupo likizo kwasasa hapa mkoani Dar es Salaam anasema hivi! Kipindi cha kuelekea uchaguzi walimu waliambiwa na CWT pamoja na maafisa utumishi wajaze haraka sana fomu za Bibi na bwana salary areas claiming forms ili walipwe...
  19. Kisutu: Mzigo wa Madini wenye thamani ya Bil 61 Wataifishwa, ni ule Uliokamatwa Uwanja Ndege wa Dar

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaifisha mzigo wa madini ya almasi ambao ulikutwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ukiwa unasafirishwa kwenda nchini Ubelgiji, wenye thamani ya sh. bilioni 61, 970,625,864. Almasi hizo zina uzito wa carats wa 71,654.45 ambazo zilikuwa...
  20. V

    Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

    Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini. Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…