Ati kumefanyika uteuzi wa baraza la mawaziri. Ningekuwa Rais. Waziri kashindwa kuleta tija katika muda alokaa katika wizara ni kumuondoa na kuweka mtu mwingine. Tanzania ina wabunge 300 na kitu lakini bado kuna Watanzania millioni 60.
Ndo kusema hao mawaziri wenu ndo watu wenye uwezo pekee...