Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini wasituambie ukweli wasingizie barabara?
Hii ni mbali na 1200 kwa kila lita moja ya mafuta ya kula...
Habari za asubuhi!
Leo kuna mtu alipost jambo humu akanikumbusha jambo, nikaingia library kupekua nikakutana na picha za matukio kadhaa ya nyuma yaliyofanywa na viongozi wetu.
Hebu icheki hii picha chini kisha utagundua kuwa tuna baadhi ya viongozi vichaa katika Taifa hili.
Hawa watu wenye...
Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)?
Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi?
Natanguliza shukran!
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana...
Tulijawa na matumaini ya kusonga mbele na kurekebisha makosa yaliyofanyika. Tatizo likaanza kwa kiongozi wetu kuamini anastahili kuunda serikali upya. Kila kitu kipya. Akatikisa mawaziri ili wajisikie wapo kwa sababu yake. Ikawa hivyo. Akakusanya washauri toka NGO, akatafuta mabalozi toka NGO...
Habari wadau!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.
Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri
==========
Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango
=▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu.
Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk.
Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
Nianze na kumpongeza mama Samia kwa uamuzi mzuri na wenye busara zenye kulenga mwendelezo wa aliyekuwa mkuu wake wa kazi , pongezi zingine ziende kwa waziri mkuu kwa tamko la utoaji wa kiasi cha bilioni 300 zitakazotumika kuendeleza miradi jijini Dodoma iliyoanza awamu ya tano na mwendazake JPM...
Haya ni mateso juu ya mateso, Nauli za baada ya kustaafu ni kitendawili, Penesheni ya PSSSF kulipwa ni kitendawili, Madeni pindi tunaenda kozi za vyeo pamoja na kukatwa kwenye mshahara kila mwezi laki 290 elfu kujisomesha kwenye chuo cha serikali kila mwezi bado hatujalipwa nauli zetu za safari...
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka usingizini.
Hii serikali ya awamu ya 6 inanishangaza sana, toka imeanza hadi sasa imekuwa ni Corona na...
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima.
Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover.
Kutokea Mwenge kwenda...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule.
Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao?
Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe.
JPM kafariki
Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.