serikali

  1. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Wana CCM dhidi ya Rais Samia na Serikali yake ni akina nani?

    Black mailing dhidi ya Rais Samia Kuna kundi wamedhamiria kufanya blackmailing. Ofcourse wako bado serikalini na wako na vyeo vyao. Rais Samia hakutaka kuwatoa wote tunajua hakutaka lawama lakini wedhamiria kumblack mail Mama Tumeona wanaprovoke kwenye baadhi ya mambo wakipinga ziara za nje...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Serikali yenye akili lazima iache kabisa kuingilia kusambaza bidhaa hasa kwenye miradi hii ya COVID-19. Inaweka mzigo na mwanya wa rushwa

    Kuna baadhi ya halmashauri zilijaribu kununua na kusambaza cement kwenye hii miradi kilichotokea NI kuwa bidhaa hizo waliwauzia taasisi kwa Bei kubwa kuliko Bei ya soko. Sioni mantiki ya Serikali kuingilia biashara hizo kwa visingizio vyovyote vile huko ni kuturudisha kwenye ujima na ujamaa wa...
  7. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Imetenga 1Trilioni kwa ajili ya mikopo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Tsh. Trilioni moja kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa riba ya asilimia tatu ili mabenki na taasisi hizo zitoe mikopo kwa riba isiyozidi asilimia 10. “Serikali imeendelea kulegeza masharti ya uanzishwaji wa ofisi za...
  9. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Achunguzi ufanywe kwa Rais Magufuli au kwa Serikali ya awamu ya tano?

    Waslaam wakubwa Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani? Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali. Awamu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Bunge la Tanzania linaisimamia Serikali au linashirikiana na Serikali?

    Kwa akili ya kawaida Tujiulize Bunge letu linafanya kazi ya kuisimamimia Serikali au linashirikiana na Serikali? Bunge ni chombo cha wananchi ambacho hutakiwa kuisimamia Serikali na kuishauri kwenye mambo kadha wa kadha, sasa tujiulize ni Sheria ngapi za kumuumiza mwananchi zimepitia kwenye...
  11. Dead Man

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali Iwafikirie Wajasiriamali na wahangaikaji

    Mbunge wa Nzega vijijini Dr. Hamis Kigwangalla Ameomba serikali kuwafikiria wajasiriamali na wahangaikaji wengine.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

    Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali inaahidi nini endapo Taifa stars itashinda?

    Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote Mimi nahahidi mfuko mmoja wa cementi Kila mchezaji
  17. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mnapoongozwa na Dola Ovu

    Mhalifu au mwovu huweza kuwa mtu binafsi, serikali/dola, taasisi, kikundi rasmi au kisicho rasmi. Uovu mbaya kabisa ni ule wa dola maana huo unafanywa dhidi ya wananchi ambao kihalisia walistahili kuheshimiwa na kutendewa haki. Wanaosababisha dola iwe ovu ni watawala waovu. Na bahati mbaya...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

    Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were tested . Kesi ya mbowe Kama kweli lengo ni kumfunga kwa gharama yoyote hata iweje Basi mahakama...
Back
Top Bottom