serikali

  1. E

    JamiiForums Tanzania Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

    Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pesa za serikali zilizoongezwa kwenye bajeti ya kununua Mahindi zinaitwa pesa za Rais?

    Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini. Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iliahidi kutengeneza njia nne mlima wa Mbalizi Mbeya hadi leo kimya, Dr. Tulia sasa wewe ndio mbunge wa Mbeya, unasubiri vifo vingapi?

    Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo? Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali na Morning Trumpet asubuhi hii

    Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
  8. MKEHA

    JamiiForums Tanzania Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie michezo ya kickboxing, anaweza kufa mtu uwanjani

    Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama. Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  11. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali iichunguze DAWASA kuhusu urefu wa visima vyake vya maji Mbagala Charambe

    DAWASA Mbagala Charambe imekuwa ikisambaza maji yasiyofaa kwa matumizi, hali hii imekuwa kwa miaka sasa kiasi cha kusababisha wakazi kuchimba visima vyao, tofauti kubwa ni visima vya DAWASA kuwa na maji yenye chumvi nyingi sana kama ya baharini tofauti na ya watu binafsi Kuacha kutumia maji ya...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  13. Mel James

    JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kuondoa Magogo mabuchani

    Habari za mda huu Naenda moja kwa moja kwenye mada. Serikali tumekuwa tukikatiwa nyama kwenye magogo toka enzi za uhuru. Bucha nyingi hasa mikoani ni magogo. Binafsi sijaona madhara au kusikia madhara ila ukweli ni kwamba kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi dunian kote na pia...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Jinsi Taliban wanavyoyazima maandamano hawana tofauti sana na Serikali yetu

    Imeripotiwa kwamba leo baadhi ya wanawake wa Afghanistan waliandamana wakipinga kuundwa kwa serikali mpya chini ya Taliban ambayo haina waziri mwanamke hata mmoja. Katika harakati za kuzia maandamano hayo Taliban wamewatembezea vipigo waandamanaji pamoja na waandishi wa habari walikuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya CCM kwa ujenzi wa barabara zote za Mwananyamala, kura zetu mtazipata 2025

    Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni ya nchi za kifalme na CCM ni "kama" dini ya Serikali hata CHADEMA wakiwa madarakani hawataibadilisha

    Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu. Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

    Nchi zote zilizoendelea ikiwemo Marekani huwa wana vyuo ambavyo havajiasajiliwa. Ili mradi vijitangaze hivyo kuwa chuo ni unaccredited na kuwa havitoe vyeti vinavyotambuliwa popote. Hivi vyuo huwa ni muhimu sana sababu vingi hutoa knowledge za jinsi ya ku survive mitaani. Pia ndivyo hutumika...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Nipo shuleni ofisini Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi? Je, Serikali...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Uhamisho Taasisi za serikali

    Habari zenu wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyosema, natafuta nafasi ya kuhamia kwenye taasisi Kama Tari, Tpri, Nimri au Taasisi yoyote inayohusiana na Research au Afya.
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Back
Top Bottom